Habari wana JF
Mimi nina mzungu mmoja ananunua copper ore (mawe yenye copper) kutoka kwa wachimbaji wadogo popote pale tanzania. Kama mtu anachimba copper au anamfahamu mtu anayechimba copper, tunawezafanya biashara nzuri. Unachotakiwa kufanya ni kama wewe ni mchimbaji, ukishachimba hiyo copper yako huyu mzungu anakuja kuichukua hapo hapo mgodini kwako. Usafiri ni juu yake. Ni-pm kwa mwenye copper.