Nanunua bikra. 1,000,000. Tsh

Status
Not open for further replies.

Bangi za kuvutia chooni mbaya sana
 
uhuru wa kutoa mawazo, tutafanyaje sasa ni haki yako kabisa kisheria.

Umenichekesha DEMBA. Kuna jamaa mmoja akimwita msichana kwa nia ya kumtongoza akikataa kuja kumsikiliza anasema: "Hivi wewe hujui kuwa kunisikiliza ni haki yangu ya kikatiba?"
 
Last edited by a moderator:
You're serious eeh!!!!! kumpata mke bikra hata kama vigezo vingine vyote ni SIFURI!!!....Google mtaa unaitwa raha tupu labda huko unaweza kufanikiwa.

Ndio wapi huko BAK ? Hebu nielekeze vizuri. I'm serious.
 

1. nahisi unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia
2. hutaangalia vigezo vingine vinavyohusu mke mwema
3. utampata money monger
4. unawafanya wanawake waonekane ni bidhaa kama bidhaa zingine zinazoweza kuuzwa na kununuliwa.
5. utatumia utaratibu gani kumjua huyu ni bikira? utajuaje kuwa hii sio bikira orijino? walio na bikira feki mnaachanaje?
6. wewe ni bikira?

weka picha mkuu! hahahaaaa!
 
huduma unayotafuta kwa wadada wa sasa haipatikani.tafadhali jalibu kwa miaka ijayo......
 
heee heee utafiti huyo ni last born wa obama, Sasha nimeamua kumuweka hapo ili namimi nioshepo kidogo.
Wacha nitoe yamoyoni, nikweli naipenda avatar yako bibie
 
Last edited by a moderator:
Umenichekesha DEMBA. Kuna
jamaa mmoja akimwita msichana kwa nia ya kumtongoza akikataa kuja
kumsikiliza anasema: "Hivi wewe hujui kuwa kunisikiliza ni haki yangu ya
kikatiba?"

haa haaa haaa mwenzangu ni haki yake kweli, chezea haki za binadamu weye!!!
 
Ndo mana nami natafuta atakaekua mke wa mtu nimbikiri ili ngoma iwe droo.

Hiliii nalooo ni janga la KITAIFA! aya ukipata hlo bkra lako uje utupe feedback how was that!!
 

Kwelii wewe mi great thinker!!!!!!!
Kizazi hiki kitamalizwa na zinaa!
Putuuuuuuuuu!!
Alaf uwe na heshina kidogo!!!
 
Bibi yangu anayo wewe nipe 500 000 zingine mtamalizana wenyewe.
 
We utakuwa chizi si ungeenda kule uhusiano na mapenzi sio huku huku siasa tu kifupi huku ni mijadala ya kina zitto na slaa plus jk fake
 
matatiz, kuna mama mmoja wa kimarekani alikuwa anauza bikra za wanae nane kwa dola mia moja each!

kwa sasa yuko polisi..

nakushauri umtafute, akitoka unaweza kununua bikra za wanae wote!!

teh teh!! chezea bikranization wewe!!
 
Last edited by a moderator:
umasikini wa fikra ndio utakao wamaliza wenye fikra potofu,
wewe mwenywe je ni bikra??? jibu unalo mwenywe
you will get what you are
 
Nakutahadhalisha, "ukiona umeoa mke sio Bikra, tambua kwamba umeoa mpenzi wa mtu. Na ujikaze!!!, maana ujue umefuga simba na ipo cku atakumbuka pori" !!



Hili ndio tatizo letu wanaume wengi, story za vijiweni siku zote ndio zinatawala maisha yetu ya mapenzi. Juma kasema mwanamke ili akuone kidume, mpige magoli 10. Ndio maana wauza dawa za nguvu za kiume nao wamekuwa wengi.

Wamekuja hapa na thread ya kutisha watu, wanaume wasiojiamini wamebebwa kama magunia, inaelekea kuna ndoa nyingi sana zimeingia mashakani. Ukweli ni kwamba kama mwanaume aliyekutangulia alikuzidi ujuzi, akimtaka mwanamke wako ambae hana msimamo atamkula tu, mind you aliyejuzidi ujuzi, awe alikuwa wa kwanza au wa kumi.

I rest my case
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…