Nanunua bati na mbao,isiwe bei ya dukani

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,155
13,377
Wakuu heshima kwenu,
Nahitaji kununua BATI za kawaida za kuezekea nyumba na MBAO pia.
Ila muuzaji awe anauza kwa bei ya chini sio ya dukani,pia mwenye mbao pia za kuezekea ambaye anauza bei isiyo ya dukani.

Naamini maisha ni kupanda na kushuka,huenda kuna mtu alinunua bidhaa tajwa hapo juu na anataka kuuza,labda ameghairi ujenzi nk au kuna mtu ameezeka nyumba na amebakisha mabati na anataka kuuza,basi hii ndio fursa yao.

Napatikana Arusha,mawasiliano 0752489529 au PM.
 
Kwa Kiswahili cha moja kwa moja bila kupindisha kimtaani Ina maana unahitaji BATI na MBAO za WIZI!!!??
 
Huko mbali sana ila ungekuwa Dar,Buguruni palikuhusu pale ni mwisho wa matatizo ya ujenzi.
 
Nimeeleza aina gani ya wauzaji ninaowahitaji.
Kamwe sitaki kununua kitu cha wizi na atakaye niuzia lazima awe na nyaraka za kumiliki iwe bati au mbao,la sivyo awe tayari kuandikishana kisheria.

Kwa Kiswahili cha moja kwa moja bila kupindisha kimtaani Ina maana unahitaji BATI na MBAO za WIZI!!!??
 
Nimeeleza aina gani ya wauzaji ninaowahitaji.
Kamwe sitaki kununua kitu cha wizi na atakaye niuzia lazima awe na nyaraka za kumiliki iwe bati au mbao,la sivyo awe tayari kuandikishana kisheria.
Oooh basi sawa mkuu. Maanake ulisahau kuweka hicho kipande cha " nyaraka" na " kuandikishiana kisheria" ndio maana kuna wadau ukatupoteza. Kila la heri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom