M Mbuli Member Joined Sep 18, 2011 Posts 80 Reaction score 12 Apr 21, 2012 #1 Pamoja na utata wote na kutoelewana kwa kamati za bumge huyu a.g sijamsikia akichangia lolote. Hii inanipa wasiwasi na uelewa wake au ni kiburi cha kutotaka kusema lolote. Naomba mwenye kumuelewa vema huyu baba atujuze.
Pamoja na utata wote na kutoelewana kwa kamati za bumge huyu a.g sijamsikia akichangia lolote. Hii inanipa wasiwasi na uelewa wake au ni kiburi cha kutotaka kusema lolote. Naomba mwenye kumuelewa vema huyu baba atujuze.