Nani zaidi?

hahahaha jamaniii, sasa hapo mambo aking'ata hapo inakuwaje? naona kama tembo atashinda but atajeruhiwa sana
 
Ndembu yenyewe mbona mtoto tu huyo? Hapo mamba na domo lake km msumeno atajeruhi tu huo mkonga

Anamvutia kasi tu, atamvua kama perege mtoni, hanaga masihara Tembo aisee. Mamba mwenyewe wa kawaida sana wala siyo wa kushiba.
 
Usicheze na Ndovu hatari sana huyo, lazma mnyama maji atakili tu.

nimewakubali mmmmmmhhh
safi wanapeana mazoezi ya TFF ni mzee wa jangwani na yule wa msimbaz
ila wanaweza
 
Maskini anajitahidi kujivuta....
 
huyo mamba akionekana na yule kigogo wa ccm, atajieleza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…