Sasa Asnam, ukija siku moja kupambana na Tundu Lissu wa JF yaani KIRANGA, si ndiyo utarusha matusi?
Please, anza kuzoea mashambulizi na jipe mazoezi ya kusimama na kutetea POINT yako kwenye mijadala na huna haja ya kuchukia au kukimbia. Siku zote ukichukia, ndiyo Mpinzani wako anatumia hasira zako kukumaliza.
Hakuna sehemu nzuri ya kuanza kuzoea na kufanya mazoezi kama hili. Again, pole kwa maneno yangu ambayo nilijua unayachukua ni utani tu.
Anyway, naandika huku naangalia MPIRA. Ngoja nikimbie screen maana huwa mwoga wa kuangalia Penalty: Ghana vs Burkina Faso. Take it easy dada yangu na usijali kabisa niliyoandika. Usije weka kinyongo na mie wakati mie ntakuwa hata sikumbuki. USIKU MWEMA labda kama upo bara la AMERICA