wote ni majanga tu hamna lolote.
Hiv mbunye hapo inapatikana kwel? Au had upekue kama unafukua majan kweny mto
Wivu tu kwa mwanamke mwenzio, heheheheee 🙂
Vipi Kaka, kibamia nini? Mwanaume jiamini bana na mzigo wako. Wanyamwezi hatuna shida kwa hilo, itapatikana tu.
Ha ha ha ha mkuu yawezekana eenh..maana baada ya nyie kukataa kuja nikaliacha huko huko porini bana....asigwa jamaa walikuja kukukwamua naona kama lile gari lako kubwa ndo limepaki hapo!!!
aaaah!utakuwa umesaidiwa na wasamalia wema most probably atakuwa Mbuzi Mzee!Ha ha ha ha mkuu yawezekana eenh..maana baada ya nyie kukataa kuja nikaliacha huko huko porini bana....
sio wivu ila hiyo minyamanyama ndo inabore bhana kwanza hata sitamani kufikia majanga hayo.
Vipi Kaka, kibamia nini? Mwanaume jiamini bana na mzigo wako. Wanyamwezi hatuna shida kwa hilo, itapatikana tu.
Nikisikia MNYAMWEZI huwa napatwa kichefuchefu.
Kama kuna tabia yenu yenye kunichefua ni hii ya kujazana walikoolewa dada zenu....loh!
Kwa sababu wewe ni Mwanamke, huwezi kuelewa, anasema R. Kelly kwenye wimbo wake na Beyonce.
Hiyo Minyama Nyama ndiyo yenyewe kwa baadhi ya Wanaume kama Nigeria, Bahima (Watusi) nk.
Hivyo wewe kubali tu kuwa WIFU unakusumbua mama Yangu 🙂 Hahahaaaa....