Kweli wewe mfuatiliaji ila wamefanya makosa makubwa sana kugombana na Matt Damon, kuna watu wako irreplaceable (mfano Roger Moore kwenye James Bond)
Trela: The Bourne Legacy - Official Trailer 2012 - Movie Trailer - HD - YouTube
Wakuu mmenishika pabaya Jack namtambua na kumfagilia huyo bourne sijaona series zake naomba mnambie cover zake zimeandikwaje ili nitafute na kujionea mwenyewe.Vilevile kama yule star wa series ya jumong katoa movie nyingine naomba mnijulishe na majina ya hizo movie nizitafute.nitashukuru mkinijuza
Nipo hapa,msihangaike Sisi wote ni wazuri kulingana na sehemu tuliyoshiriki katika filamu zetu, ukweli mimi naamini ni bora zaidi!
Jack ame-act series zipi zaidi ya 24, na je ameshatoa season 9, je naweza ipataje? ila mmenichanganya, mnamaanisha awa wa jf au awa wa marekani? na je bourne wa jf mbona amekaa kmya na series zake? maana aliishia part 2! naomba ani-pm tafadhali maana nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa story zake
Ni vigumu kumlinganisha Jack Bauer na Jason Bourne kama ilivyo vigumu kuwalinganisha Jackie Chan na Bruce Lee au James Bond na Willie Gamba ama Carlos the Jackal na Companero the Vulture. Njia rahisi ingekuwa ni kuwakutanisha. Lakini hilo haliwezekani. Kilichobaki ni kutumia vigezo vingine. Wajuvi tujuzeni - nani zaidi: Bauer au Bourne?
Au ni vigumu kumfananisha mchezaji yoyote na Dinho Ronaldinho kwa sasa na hata milele.
acha longo longo, bourne legacy umeionea wapi?
Unatisha aisee. Nimeikubali sana hiyo nukuu kuhusu Nina! Tuangalie na upande wa pili - vichwa vinavyowasumbua kina Jack Bauer, Jason Bourne, James Bond, Willie Gamba, Bwana Msa, Joram Kiango, Compatriot Companero na wengineo:
Ocean 11
Italian Job
The Day of the Jackal
NANI ZAIDI?
Ni vigumu kumlinganisha Jack Bauer na Jason Bourne kama ilivyo vigumu kuwalinganisha Jackie Chan na Bruce Lee au James Bond na Willie Gamba ama Carlos the Jackal na Companero the Vulture. Njia rahisi ingekuwa ni kuwakutanisha. Lakini hilo haliwezekani. Kilichobaki ni kutumia vigezo vingine. Wajuvi tujuzeni - nani zaidi: Bauer au Bourne?
Kweli wewe mfuatiliaji ila wamefanya makosa makubwa sana kugombana na Matt Damon, kuna watu wako irreplaceable (mfano Roger Moore kwenye James Bond)
Trela: The Bourne Legacy - Official Trailer 2012 - Movie Trailer - HD - YouTube
hicho ni kigezo chepesi, tunaongelea kuzidiana akili, maarifa, spidi, mbinu, ujasiri, ujanja na kadhalika
Hapa ni mtihani kidogo... Unapokuja kwa Ocean 11 na the Italian job, ni kama zafungana... Thou i have to be frank and admit napenda Oceans' zaidi, I love Clooney in action.....lol. Na I love the combination ya team ya Ocean zaidi kuliko ile ya The Italian job.
Nikija The day of the Jackal, I can only imagine the movie... Sijabahatika kuona, Ila sijui kama wamefanya justice kuweza ipa the same effect I got from when I read the book. Superb! Kimeandikwa na Zimmerman Fred.... The movie itakuwa ilikuwa based on the book. kama you have read the book we can discuss from there....