kamzidi nini?
Ndugu yangu, kwa kurejea series za tamthilia hizi mbili, utaona kuwa Jack Bauer anapambana na ugaidi akiwa polisi mpelelezi wa kupambana na ugaidi (Counter Terrorist detective) wa FBI wakati Jason Bourne ni mpelelezi / shushu wa CIA ambaye ni mtaalamu wa kuua na kupotezea. Utayarishaji wa series za Jack Bauer umejaa special effects wakati ule wa series za Jason Bourne umejaa uhalisia. Hapo ndipo tofauti kati ya hawa wawili inapoanza kujitokeza, kama wabisha ni PM tuonane nikupe CD za hawa wakali wawili uangalie ubaini tofauti. Asante
Inategemea unatakwa wa define kwa mising ipi.... Kama ulivosema Companero, it is an unfair comparison. Wote ni bora katika walo yafanya.... While Bauer ana scope kubwa ambayo anaweza tumika kumtathimini, Borne kidogo narrow in comparison. However....
Ukiwaangalia upande wa Personal Intelligence
Bourne ni zaidi ya Bauer, the guy has been portrayed as intelligent zaidi. Kitendo cha kuwa struck by amnesia na you are still able to get thru the US intelligence sio lelemama, being able to trace wapi katokea, who he was before and what he is all about. His success depends entirely on his plans, counterplans and contigiency plans... he flows his insticts and trusts them na he is almost always right. I was so impressed na ile scene ambayo aliingia bar akiwa na yule dada, na alipo account the details (sizikumbuki) but he was able to tell gari ngapi zipo nje na number plate, which guy had a piece in the bar, na the like. Hapo Bauer haoni kwa Bourne.
Bauer's intelligence lies on thinking on his toe (not that Jason does'nt).... minimising the effects by minimising the time frame of disaster... Solving multiple problems at par, Great at breaking the Law for all the right reasons.... He has been portrayed as a man with Greater personality than borne.... A man of honor and a man of principle although from bended Principles. And his quotes.... I love his qoutes.
I love the ending of Bornes squeals, I hate the ending of 24hrs, ni kama vile iendelee tu.
safi sana! uchambuzi umetulia. swali la nyongeza: je, huoni kuwa unampendelea bourne ambaye alifundwa na kubadilishwa akili awe mashine ya kufikiri na kuua kwa kasi badala ya kuwa mwanadamu wa kawaida kama bauer?
Nimeona trailer yake hata youtube ipo na yenyewe itatolewa tarehe 3.8.2012acha longo longo, bourne legacy umeionea wapi?
- If Jack Bauer was in a room with Hitler, Stalin, and Nina Meyers, and he had a gun with 2 bullets, he'd shoot Nina twice.
- Jack Bauer doesn't need to eat, sleep, or use the bathroom because his organs are afraid of making him angry.
- It's no use crying over spilt milk... Unless that was Jack Bauer's milk. Oh you are so screwed.
astara vista Companero.....
Nimeona trailer yake hata youtube ipo na yenyewe itatolewa tarehe 3.8.2012
jack ni zaidi kwa kuwa anapambana dhidi ya ugaidi na yupo tayali kufa kwaajili ya nchi yake na familia yake na anatumia akili sana ktk mapambano ila bourne yeye anataka kujiokoa toka mikononi mwa watu wanaotaka kumuua hiyo inaonesha jinsi alivyo mbinafsi