Nani yuko The Calabash mwenge hapa saivi??..!!!

Hapo Calabash kuna dada mmoja mrembo, mweusi tii, anaitwa Husna... Yule dada kakamilika kila idara...

Big huwa anatisha sana anapoimba, huwa ananifanya nirudi tena na tena. Unakuta anaimba wimbo wa kidumu (mapenzi) au ukute yule dada anaimba gere mama wa Kilimanjaro band, na hapo upo castle lite ya nane(8), basi ni balaa tupu.
My all time favorite kwa pale ni “Ndoa ya mateso by Marijani Rajabu”. Marijani Rajabu aliua kwenye ule wimbo, maana mke yeye, na mshenga yeye.
 
Back
Top Bottom