R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 25, 2013 #1 habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Nov 25, 2013 #2 Kumbe tupo wengi!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,277 Reaction score 108,284 Nov 25, 2013 #3 Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,365 Reaction score 27,761 Nov 25, 2013 #4 stori gani hiyo au unataka attention ya watu tu hapa,.. Mod kwani na nyie mmelala??
jcb JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 280 Reaction score 66 Nov 25, 2013 #5 Itakuwa tanesco bado hawaja wakumbuka!
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Nov 25, 2013 #6 Njoo huku tupige story za humu hazinogi
ladybutterfly JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 215 Reaction score 59 Nov 25, 2013 #7 haya leta hizo story...
SOKONI Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 171 Reaction score 40 Nov 25, 2013 #8 We demu au man,kama dume nshalala.kama pande za kikeni poa
Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Nov 25, 2013 #9 mh kumbe wengiii
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Nov 25, 2013 #10 nasubiri hizo stori
Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Nov 25, 2013 #11 fanya Pm nikupigie
R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 25, 2013 Thread starter #12 watu8 said: Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke. Click to expand... unajuaje kama sijafanya ibada? watu wengine kwa kuhukumu bwana!
watu8 said: Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke. Click to expand... unajuaje kama sijafanya ibada? watu wengine kwa kuhukumu bwana!
O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Nov 25, 2013 #13 Na mimi nipo wadau!!, lete mambo!
R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 25, 2013 Thread starter #14 Zipuwawa said: Njoo huku tupige story za humu hazinogi Click to expand... wapi huko? hupendi kijiwe?
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Nov 25, 2013 #15 rugwebe78 said: wapi huko? hupendi kijiwe? Click to expand... huku kwangu naona na mimi usingizi hauji
rugwebe78 said: wapi huko? hupendi kijiwe? Click to expand... huku kwangu naona na mimi usingizi hauji
R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 25, 2013 Thread starter #16 SOKONI said: We demu au man,kama dume nshalala.kama pande za kikeni poa Click to expand... ahahaha..., me nataka wote bana, kwann unataka wa kike tu?
SOKONI said: We demu au man,kama dume nshalala.kama pande za kikeni poa Click to expand... ahahaha..., me nataka wote bana, kwann unataka wa kike tu?
R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 25, 2013 Thread starter #17 he!! mnasubiri me nianzishe stori! me sina, ila nataka kampani yenu, mwenye nayo alete si lazima niilete mimi! karibuni.
he!! mnasubiri me nianzishe stori! me sina, ila nataka kampani yenu, mwenye nayo alete si lazima niilete mimi! karibuni.
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Nov 25, 2013 #18 mwallu said: nasubiri hizo stori Click to expand... mmmh mtoa mada anatuchezea tu huyu! mbona story yenyewe haiji?
mwallu said: nasubiri hizo stori Click to expand... mmmh mtoa mada anatuchezea tu huyu! mbona story yenyewe haiji?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,437 Reaction score 4,828 Nov 26, 2013 #19 Sasa mbona nimeshonola mda wote huo hata sioni story Ngoja nilalepo maayo
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,741 Nov 26, 2013 #20 macho ya wapi? Msasani ama?