Nani yuko macho nimpe ya motomoto?

zandar

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Jama kaja na mrembo wake bar kumbe jamaa mifko imetoboka mrembo c kagiza savana jama kaaga anaend chon mpakasasa ajarudi
 
Savana tu mpaka sasa imebidi show nisimamie mimi mpaka mdaa huu na mrembo anakaa ubungo alafu ndokwanza yuko dar lav.
 
Jama kaja na mrembo wake bar kumbe jamaa mifko imetoboka mrembo c kagiza savana jama kaaga anaend chon mpakasasa ajarudi
Mkuu zandar Msaidie huyu Mrembo kumlipia asije akaadhirika lakini angalia miguuni mwake asije kuwa na kwato za punda jini huyo?


 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimekusoma mgoja nifanye uchunguzi kwan mrembo ni mrembo kweli cjui kwanini jama kaingia mitini.
 
Pambana mkuu, ni kama kumsukuma mlevi vile.
 
Goli la ulimi hilo yaaani halihitaji chenga nyingi za Ronaldo...
 
Tupe feedback au umejikuta umelala juu ya mbuyu ulipoondoka na huyo mrembo?
 
Jama kaja na mrembo wake bar kumbe jamaa mifko imetoboka mrembo c kagiza savana jama kaaga anaend chon mpakasasa ajarudi

Kwani inauzwa laki ngapi hiyo makitu?
 
Jama kaja na mrembo wake bar kumbe jamaa mifko imetoboka mrembo c kagiza savana jama kaaga anaend chon mpakasasa ajarudi

Kwa nini alikubali kwenda huko huku akijua uchumi uko vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…