Nani wakumtongoza mwenzake mwanaume au mwanamke.

Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)
.
Yaani huwezi kuingia JF ukatoka bila kucheka!

Kweli "JF is never boring!" ... alisema The Boss
.
 
Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)

nakupenda bure
 
Kwa taarifa yenu, zaidi ya asilimia 60 ya mahusiano ya kimapenzi yameanzishwa na wanawake. Wanaume huangalia mwenendo wa msichana kisha kumalizia 'pasi ya goli'. Wanawake wananguvu kubwa katika kuanzisha mahusiano, wanaume hawakurupuki kwa msichana. Kwa maana hiyo, msichana akifunguka dhidi yangu sishangai.
 
hakuna kitu humu dununiani kama kotongozwa na mwanamke zamani nimeshajipitisha sana uwani kwa watu sasa naona kama ni kunipunguzia kazi jumlisha kukataliwa bora anitongoze bana.
 
Back
Top Bottom