Nani wakumtongoza mwenzake mwanaume au mwanamke.

...Mwaka 2012 huu na si mwaka 47...mtongoze tu huyo njemba lakini uwe tayari kukataliwa na pia kujibu maswali chungu nzima ikiwemo, "Umeshawahi kuwatongoza wanaume wangapi?" "Kitu gani kilichokufanya unipende hadi kunitongoza?" "Je ukimuona mwanaume mwingine ambaye ana hicho ulichonipendea mimi au zaidi yangu je naye utamtongoza?"

Kila la heri...ila kama unaona shida basi jipitishe pitishe maeneo yake ya kujidai na huku ukimsalimia kwa tabasamu la nguvu hadi somo lieleweke. (kwamba yule dada ananipenda/ananizimikia)

Coz mimi swala hli laniumiza kichwa coz nimezoea kutongozwa na caca nimempenda m2 what can i do jaman.
 
Hujui tamaduni zetu waafrika? Anayependa ni mwanaume, mwanamke nikutii tu. Kwahiyo hujampenda ila umemtamani
 
Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)
 
Mwanamke anaweza kumtongoza mwanamme na kufanya mwanamme aone yeye ndiye aliyenza kumtongoza mwanamke.
 
Mwanaume yuko huru kufanya hilo zoezi bila jamii kumtafsiri tofauti. Kwa mwanamke ni ngumu kumtongoza moja kwa moja. Anaweza kufanya hivyo kwa kutumia vitendo, ishara au nafasi yake ya udada kutimiza malengo. Kutamka live kama mwanaume inaleta tafsiri tofauti ...
 
Tumia jia na si kwenda live ukienda live atakutumia na atasepa.
 
Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)

Duuh!! likifungwa kamba ya manila si litakatika
 
Tatizo kinadada wakimshobokea mwanaume alafu mwanaume akawa hayupo interested atatungiwa majina kibao, anaringa mara anajidai maana wengi wanaamini mwanaume ni dhaifu japokuwa kuna circumstances huwa hawatabiriki hivyo ukikutana na kibuti usinyong'onyee sana (wakati wanaume ukipigwa kibuti unajipanga upya tena)
 
umeona eeeh...

wanatuletea kiswahili cjui kinini hata cha mtaani huko, sasa kuna ugumu gani wa kuandika kaka badala ya hiyo caca,

Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)
 
For true success ask
yourself these four questions:
Why?
Why not?
Why not me?
Why not now?
(James Allen)
 
...Mwaka 2012 huu na si mwaka 47...mtongoze tu huyo njemba lakini uwe tayari kukataliwa na pia kujibu maswali chungu nzima ikiwemo, "Umeshawahi kuwatongoza wanaume wangapi?" "Kitu gani kilichokufanya unipende hadi kunitongoza?" "Je ukimuona mwanaume mwingine ambaye ana hicho ulichonipendea mimi au zaidi yangu je naye utamtongoza?"

Kila la heri...ila kama unaona shida basi jipitishe pitishe maeneo yake ya kujidai na huku ukimsalimia kwa tabasamu la nguvu hadi somo lieleweke. (kwamba yule dada ananipenda/ananizimikia)

kha!! mbona huyo kaka anajibu kama mwanamke au hiyo ndio 'standard' response unapotongozwa??
 
Ni maswali ya kawaida kabisa haya ambayo mwanaume aliyetongozwa anaweza kuyauliza na wala hayaonyeshi kama yameulizwa na mwanamke.
 
Coz mimi swala hli laniumiza kichwa coz nimezoea kutongozwa na caca nimempenda m2 what can i do jaman.

My dear jitahidi kumuonesha kwa vitendo hata bila kuongea moyo wake utahisi some force of attraction. mpende, mjali, dumisha mawasiliano, na ukiona upo nae karibu sana jitahidi kumwambia I hope atakujibu vibaya.
 
Sheria namba moja ya kutongoza ya mwaka 1967 kifungu A, kifungu kidogo cha (iii) na (iv)

(iii) Ni marfuku mwanamke kumtongoza mwanamme yeyote wala kumtega kama hajui kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha

(iv) mwanamme atakayetongozwa na mwanammke asiyejua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha, endapo atakubaliana tongozo hilo, atapewa adhabu ya kuvuta jiwe la kilo 10 kwa kutumia kengele zake, jiwe hilo litafungwa kamba ya manila. (kama John English)

Uwiiii.........! Jamani Nimecheka Mieeeeee....!
 
Back
Top Bottom