kwan kwenye ligi timu zinazoshuka daraja sio tatu3 ni mbili au utaratibu umebadilika , usijifanye unajua sana kumbe ujui, ligi zote kalibu dunia nzima timu za kusguka daraja uwa ni tatu , labda nimekuwa mvivu kufatilia ligi ya bongo utaratibu wakeSasa nawewe ni shabiki wa mpira kweli? Aliyekwambia zinashuka tatu ni nani?
Bongo utaratibu unabadilika kila mwaka atuna consistency.kwan kwenye ligi timu zinazoshuka daraja sio tatu3 ni mbili au utaratibu umebadilika , usijifanye unajua sana kumbe ujui, ligi zote kalibu dunia nzima timu za kusguka daraja uwa ni tatu , labda nimekuwa mvivu kufatilia ligi ya bongo utaratibu wake
kwanin zisingecheza izo mbili kati ya mwadui na kagera ,itakayofungwa ishuke daraja kukamilisha timu tatu za kushukaZilitakiwa zishuke nne zipande nne, mbili za mwisho zinashuka moja kwa moja mbili kutoka zile za mwisho zinacheza play off na zile za daraja la kwanaza kama zikifungwa timu nne zinashuka moja kwa moja nne mpya zinapanda, kama zikifunga timu mbili zinashuka daraja mbili zinapanda.
kwanin zisingecheza izo mbili kati ya mwadui na kagera ,itakayofungwa ishuke daraja kukamilisha timu tatu za kushuka