monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,779
Wakukukuuu mambo vp?
Leo nilikuwa naenda kutafuta nyumba ya kununua pale sinza kumekucha,basi nikawa nimekaa pale kwa madalali kwa nyuma kuna saloon ya kike,nlikuwa namsubiri mwenyeji wangu,nikasikia wadada wakibishana/kueleweshana wao kwa wao mmoja anasema "bora kuzaa na mwanamme handsome bwana akupe mbegu/sura safi ya mtoto,mwingine akamwambia hapana vizuri uzae na mwanamume Msomi kichwa inachemka,atasaidia kupata mtoto mwenye akili na kupunguza ma ada ya shule kwa kutokuwa mzembe darasani,mabishano yalikuwa ya sauti kuu....nikajiuliza hivi kumbe wadad huwa wanafikiria hayo ya handsome na akili ili mtoto mzaliwa awape raha wazazi,Ghafla akaja dalali wangu nikaondoka nae nilitaka nisikilize nione mwisho wake/hitimisho lingekuwaje?