Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
ni kweli lakini bahati mbaya Lema siyo askari , tunaomba jina la askari .
Tafuta Mchaga mwingine labda Limo Masawe au Tarimo!
ni kweli lakini bahati mbaya Lema siyo askari , tunaomba jina la askari .
sawa mkuuTafuta Mchaga mwingine labda Limo Masawe au Tarimo!
Amrudishe Mangu, Mangu aliondolewa ili wajipange kumpiga lissu rissasi, mission failed bora arudie cheo chakrWakuu nawasalimu katika lugha iliyojaa matumaini na hasa baada ya MO Kupatikana , ama kwa hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Cheo cha IGP kama vilivyo vyeo vingine ni dhamana ya muda mfupi tu , na kwa vile hii ni nafasi ya kuteuliwa tu , haina haja ya kusubiria miaka mitano , Mteuzi habanwi na kifungu chochote cha katiba anaweza kutengua uteuzi wakati wowote akipenda .
Sasa baada ya maelezo mazuri hapo juu , unadhani ni askari gani unayemfahamu kwa uadilifu anayefaa kuwa IGP wa Tanzania baada ya Simon Sirro ?
Ikumbukwe kwamba swali hili halina uhusiano na jambo lolote linaloendelea , nimeuliza ili kupata maoni ya wananchi ambao bila shaka wanayo haki ya kutoa maoni kwenye nchi yao.
Natanguliza shukrani .
Sirro bado yupo sana hana mrithiWakuu nawasalimu katika lugha iliyojaa matumaini na hasa baada ya MO Kupatikana , ama kwa hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Cheo cha IGP kama vilivyo vyeo vingine ni dhamana ya muda mfupi tu , na kwa vile hii ni nafasi ya kuteuliwa tu , haina haja ya kusubiria miaka mitano , Mteuzi habanwi na kifungu chochote cha katiba anaweza kutengua uteuzi wakati wowote akipenda .
Sasa baada ya maelezo mazuri hapo juu , unadhani ni askari gani unayemfahamu kwa uadilifu anayefaa kuwa IGP wa Tanzania baada ya Simon Sirro ?
Ikumbukwe kwamba swali hili halina uhusiano na jambo lolote linaloendelea , nimeuliza ili kupata maoni ya wananchi ambao bila shaka wanayo haki ya kutoa maoni kwenye nchi yao.
Natanguliza shukrani .
cheo ni dhamana tu mjomba .Sirro bado yupo sana hana mrithi
Jikite kwenye mada mjomba .Kwani wateuzi wake wamesema wanampango wa kumtengua mkuu? Nahisi swali hilo linaweza kufatiwa na maswali lukuki kama vile nani anafaa kumrithi Mbowe pale CHADEMA n.k
Nidhamana ndiyo sijakataa lakini ili dhamana hiyo iishe ni mpaka yule aliyempa dhamana aone hamsaidii ndio anaweza kuifuta. Ila kwa utendaji wake bado yupo sanaaa usiwaze mrithi kabisacheo ni dhamana tu mjomba .
usisahau ya DR ULIMBOKADcp Ahmed Msangi ndio mtu sahihi alio bakia.
usisahau ya DR ULIMBOKA

LemaKwanza tujikumbushe Majina ya Wakuu wa Jeshi la Polisi tokea uhuru:
Elangwa N.Shaidi 1964 - 1970.
Hamza Azizi 1970 - 1973
Samwel H. Pundugu 1973 - 1975.
Philemon N. Mgaya 1975 - 1980.
Solomon Liani 1980 - 1984.
Harun G Mahundi 1984 - 1996.
Omary Maita 1996 - 2006
Saidi A Mwema.2006 - 2013.
Ernest Mangu 2014 – 29/05/2017.
Simon Sirro 29/05/2017 – HADI SASA.
Kwa kuwj uongozi ni kupokezana kijiti, Najiuliza ni nani ataweza kurithi viatu vya Insipekta Sirro (IJP)