Nani wa kumrithi IGP - Simon Sirro?

kwakua wote waliopita ni wanaume basi tutafanya kama ilivyokuwa bungeni mwaka 2010 tutazingatia jinsia,, nafikiri itakuwa zamu ya Advera Bulimba,,
Kuna baadhi ya vitengo mwanamke hawezi kuongoza, mfano JWTZ, PT na TISS.
 
Yule Mzanzibar aliye sema kukohoa mbele ya mwanamke mwenye makalio makubwa ni shambulio la aibu......😂😂😂
 
Erenest Mangu alikua anaweza sana zisingekua fitina za awamu ya Tano angekuepo mpaka leo jamaa kasoma sheria UDSM kwa kifupi tena kama sijakosea kasoma na Lissu
 
Wakuu nawasalimu katika lugha iliyojaa matumaini na hasa baada ya MO Kupatikana , ama kwa hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

Cheo cha IGP kama vilivyo vyeo vingine ni dhamana ya muda mfupi tu , na kwa vile hii ni nafasi ya kuteuliwa tu , haina haja ya kusubiria miaka mitano , Mteuzi habanwi na kifungu chochote cha katiba anaweza kutengua uteuzi wakati wowote akipenda .

Sasa baada ya maelezo mazuri hapo juu , unadhani ni askari gani unayemfahamu kwa uadilifu anayefaa kuwa IGP wa Tanzania baada ya Simon Sirro ?

Ikumbukwe kwamba swali hili halina uhusiano na jambo lolote linaloendelea , nimeuliza ili kupata maoni ya wananchi ambao bila shaka wanayo haki ya kutoa maoni kwenye nchi yao.

Natanguliza shukrani .
 
Baba jesca hii nafas itamfaa sana ndio wakati wake huu wa kuwa igp

Alishawahi kutamka wazi anaitaka nafas hii
 
Wakuu nawasalimu katika lugha iliyojaa matumaini na hasa baada ya MO Kupatikana , ama kwa hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

Cheo cha IGP kama vilivyo vyeo vingine ni dhamana ya muda mfupi tu , na kwa vile hii ni nafasi ya kuteuliwa tu , haina haja ya kusubiria miaka mitano , Mteuzi habanwi na kifungu chochote cha katiba anaweza kutengua uteuzi wakati wowote akipenda .

Sasa baada ya maelezo mazuri hapo juu , unadhani ni askari gani unayemfahamu kwa uadilifu anayefaa kuwa IGP wa Tanzania baada ya Simon Sirro ?

Ikumbukwe kwamba swali hili halina uhusiano na jambo lolote linaloendelea , nimeuliza ili kupata maoni ya wananchi ambao bila shaka wanayo haki ya kutoa maoni kwenye nchi yao.

Natanguliza shukrani .
Ni wakati Tanzania wafanye kama Kenya Uganda, Rwanda IGP atoke JWTZ huko wao waligundua IGP akiwa mjeshi huwa makini zaidi
 
Kwani wateuzi wake wamesema wanampango wa kumtengua mkuu? Nahisi swali hilo linaweza kufatiwa na maswali lukuki kama vile nani anafaa kumrithi Mbowe pale CHADEMA n.k
 
Back
Top Bottom