ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
sijui niseme je, mke wangu mwenyewe sijamkuta bikra it means alikuwa na mwenzake hata wewe hapo demu uliyenaye sidhani kama ulimkuta bikra, waache waliopendana waendelee kupendana
hebu jaribu kumface huyo shemeji yako kwanza na umuonye kuhusu hiyo tabia. na umwambie kama hataacha utamweleza jamaa.
ila na wewe inabidi ujiridhishe pasi na shaka kama kweli anawachanganya. ukute alishaachana nae huyo wa mwanzo.
Mjini hapa no one belongs to any buddy
unauwakika na hayo uliyoyachunguza???kama jibu ni ndio basi mshauri rafiki yako wakapime afya na mwezake .pili kaa na shemejio umwelimishe athali za kuwa na mpz zaid ya mmoja.wakikataa ushauli waache kwan walivyokutana wewe ujui wala malengo yao uyajui.kaa tu pembeni..
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda....
Naomba ushauri juu ya hli
Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana mmoja kuwa ni mchumba wake na anataraji kufunga nae ndoa na huyo msichana pia ni collegue mwenzetu.
Ila kibaya ni kwamba huyo binti alikuwa anaishi na mvulana mwingine naye ni mwanafunzi mwenzetu ktk darasa moja. Na huyu rafiki yangu anajua mahusiano hayo na ameambiwa wameachana.
Sasa nkajaribu kuulizia kwa watu wengine nkaambiwa bado wapo kwenye mahusiano.
Je kipi kifanyike kumuepusha rafiki yangu na mateso na mambo yeyote ambayo yanaweza kumkumba kwa huyu mchumba wa kumchangia?
Wewe mbona issue ndogo sana hiyo!
As if huyo ke amesema ameshaachana na huyo kijana, and still anaendelea naye, hauwezi kumpelekea rafiki yako maneno matupu!
What you ought to do, ni kumtega huyo ke, wakati yupo pamoja na huyo aliesema ameachana nae either getto or bar, then mshtue huyo rafiki yako akafumanie!
Kinyume na hapo utakuja kuonekana siye! Ohooo! Mapenzi ni zaidi ya rafiki!
So take care!
Kwahyo utanifanya niamin kwamba "don't find wife in college life?
Wcwc wangu jamaa asijechukua maamuz mabovu maana amedanganywa
Mkuu kuna mambo mawili nakushauri
1.kazana kusoma shule
2.Jikite sana kwenye mambo yanayohusu au kugusa maisha yako kwa asilimia mia