Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

NI mUUNGANO WA WAKOLONI WA ZAMANI KUJA KWA NGUVU YA KIJESHI A KUTUTAWALA MPAKA HAPO TUTAKAPOFIKIA MODERN EVOLUTION YA HUMAN BEINGS!
 
Naomba unifundishe namna ya kusimama kwenye forum kubwa za nje huku nikiongea.

Pliz Niko chini ya miguu yako πŸ™.
Muone chini ya miguu yangu unafanya nini? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wewe bado mtoto, ukikuwa nitakufundisha. Ujiamini, usome sana vitabu mbalimbali, uwe na uelewa wa vitu mbalimbali. Haya anza hivyo kwa kuanzia. Muone kama kweli vile unataka. secretarybird
 
Mkuu mi nina uelewa mkubwa wa vitu na vitabu huwa navisoma, kilichobaki ni hivyo vitu vidogo vidogo kama hivyo ninavyokuomba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…