bado elimu ya uraia haia tifikia.
Kila upande una mapungufu yake,lakini tujue kwamba mara nyingi wanaume ndiye anayetongoza na maamuzi ya uhusiano ni wa muda gani,wa kufikia malengo gani anao yeye.....kuna mwanaume wanakuwa na wanawake from siku ya kwanza anajua hatamuoa,yani ye anataka alale nae then aondoke,au ana taka uchi wake tu......tatizo hamsemi kuwa ndicho mnachotaka,kwahiyo sisi wasichana tunakuwa na expectation nyingi,tunajitoa,tunawaweka maanani,siku ya siku,unatafuta sababu ya kumuacha unamuacha unaenda kuoa mwingine.
Najua sometimes unakuwa na mwanamke kwenye uhusiano mambo hayaendi mnaamua yaishe,mnaachana kwa amani,hii haina shida.
Ukweli wanaume ni wakujirekebisha.Kwa upande wa wanawake,mara nyingi sisi tunasikiliza na kuamini kile tunachofanyiwa/tunachosikia kutoka kwa wale tunaohusina nao,hatuwezi soma roho ya mwanaume,so tunakubali na pengine kutoa miili yetu....nafikiri kila mtu aamue kufanya/au kutokufanya mapenzi na mwenzie kutokana na namna uhusiano ulivyo,kuna wanaume/wanawake hawataki kabisa kuoa/kuolewa bila kufanya mapenzi,sasa mtu unashindwa ufanyeje,ni wachache sana wanakubali,so kwetu kina dada kila mtu aamue anachotaka..
Je na wale wanao toa masharti ya kukuoa lazima ulale naye, tuwaweke wapi?? Au wanahaki hiyo??
Wana haki hiyo,ni suala la wewe kuangalia na kuamua je umsikilize na utii anachosema au lah!
haya sasa hii ndo ile mizunguko
ya kukimbizana kwenye meza ya mviringo..
usema ukweli wanaume hawata acha kuwa wanaume
na wanake lazima tutatongozwa taka tusitake...
usema ukweli hakuna wakulaumiwa...
na huwezi laaumu pombe au shetani maana huo utakuwa uongo mtakatifu...
Kila upande una mapungufu yake,lakini tujue kwamba mara nyingi wanaume ndiye anayetongoza na maamuzi ya uhusiano ni wa muda gani,wa kufikia malengo gani anao yeye.....kuna mwanaume wanakuwa na wanawake from siku ya kwanza anajua hatamuoa,yani ye anataka alale nae then aondoke,au ana taka uchi wake tu......tatizo hamsemi kuwa ndicho mnachotaka,kwahiyo sisi wasichana tunakuwa na expectation nyingi,tunajitoa,tunawaweka maanani,siku ya siku,unatafuta sababu ya kumuacha unamuacha unaenda kuoa mwingine.
Najua sometimes unakuwa na mwanamke kwenye uhusiano mambo hayaendi mnaamua yaishe,mnaachana kwa amani,hii haina shida.
Ukweli wanaume ni wakujirekebisha.Kwa upande wa wanawake,mara nyingi sisi tunasikiliza na kuamini kile tunachofanyiwa/tunachosikia kutoka kwa wale tunaohusina nao,hatuwezi soma roho ya mwanaume,so tunakubali na pengine kutoa miili yetu....nafikiri kila mtu aamue kufanya/au kutokufanya mapenzi na mwenzie kutokana na namna uhusiano ulivyo,kuna wanaume/wanawake hawataki kabisa kuoa/kuolewa bila kufanya mapenzi,sasa mtu unashindwa ufanyeje,ni wachache sana wanakubali,so kwetu kina dada kila mtu aamue anachotaka..
Nimefurahi, kukuona hapa !!
Umeona jina langu jipya??.[/QUOT]
Tabutupu
Tuputabu
Tabutupu
mmmmhhhhhhhh
usijali na practise tu kusema lol
is not too bad actually
na kwanini ulichagua hilo???
Nimefurahi, kukuona hapa !!
Umeona jina langu jipya??.[/QUOT]
Tabutupu
Tuputabu
Tabutupu
mmmmhhhhhhhh
usijali na practise tu kusema lol
is not too bad actually
na kwanini ulichagua hilo???
hahaa, huko siko.
My new name is afrodenza!! unajua kwa nini?? afrodenzi ni feminin na afrodenza ni masculin. lol