saa 5 usiku ?????!!!!! nani anangalia TV saa 5 usiku, ni yaleyale, kuwa kuna punguzo bei ukipiga simu saa 6 usiku:A S 39:Lakini jamani mimi nakumbuka hii ilirushwa ITV taarifa ya saa 5.
Kuna umbali mkubwa kutoka Shy hadi Dar kwa ajili ya kuleta habari bila shaka magazeti ya kesho yatakuwa na habari na picha nyingi za tukio hiloJana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa Njinsi Shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa Shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa CDM haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity CDM ulioanzia TBC na kuenea kwenye Mitandao mingine ya Habari,
jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa Chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao CDM hawana kitengo cha Habari kwa sasa, nimeangalia hata Mtanzania Daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,
Kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia JF lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,
Inasikitisha hata hapa JF hakuna picha hata moja ya mazishi ya Kamanda Shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia Michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye Uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu Michuzi, lawama ziende kwao hao CDM na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea CDM TV naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba CDM wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo
RIP Shelembi
Kuna umbali mkubwa kutoka Shy hadi Dar kwa ajili ya kuleta habari bila shaka magazeti ya kesho yatakuwa na habari na picha nyingi za tukio hilo
Sasa unalalamika nini si na hao cdm watafute mkono mrefu wao?
"Hata mkawanyamazisha hawa mawe yataniimbia" watangaze wasitangaze mbona TZ yote ilijua na kila kona dar, mz ar, shy wanaliongelea!Jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa Njinsi Shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa Shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa CDM haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity CDM ulioanzia TBC na kuenea kwenye Mitandao mingine ya Habari,
jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa Chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao CDM hawana kitengo cha Habari kwa sasa, nimeangalia hata Mtanzania Daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,
Kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia JF lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,
Inasikitisha hata hapa JF hakuna picha hata moja ya mazishi ya Kamanda Shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia Michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye Uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu Michuzi, lawama ziende kwao hao CDM na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea CDM TV naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba CDM wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo
RIP Shelembi
Tuache malalalmiko yasiyo na msingi. Kwani ni lazima kila function ya CDM ipate coverage ya TV? Anzisheni TV yenu ambayo mtakuwa mnaichezea mnavyotaka nyie kwa kuripoti kila tukio halafu muone kama haitapoteza mvuto. Much as ningependa msiba huu uwe covered kutokana na umuhimu na profile ya huyu marehemu lakini tukubali ukweli kwamba CDM hawana haki ya kudhani kwamba kila tukio la CDM ni news worth covering or being picked as a news item.
CDM mnatakiwa kuongeza nguvu kitengo cha Propaganda, ikibidi nendeni Lumumba mkamchukue Tambwe Hiza atawafaa kwa kuwaunganisha na vyombo vya habari
Chadema wakilaumu kitengo chao cha habari kwa kutokuwa karibu na waandishi wa habari. Hapa bongo pasipo kutoa bahasha habari yako haitoki