Nawapenda kwa moyo wangu wote wafuatao:
Wasichana: NEMO, FREEMA ....., ASHA D, ROSE 1980, LIZZY,FIRST LADY 1,BELINDA JACOBS,AFRODENZI na natamani siku moja tujuane zaidi ya JF, napenda hoja zao na uwezo wao kufikiri,kujenga hoja na kutetea hoja yao na zaidi wana mioyo/akili inayochukulia mambo serious.
Wanaume nawapenda wafuatao: The Finest, EMT, Nonda,Arsene Wenger,Balantanda, Speaker,BAK,Klorokwini wa ukweli,Uporoto,Mbu na zaidi japo hayupo JF siku hizi Hashycool!
Sijapata bado wa kumchukia......!!!