Ahahah..hata sisi tuliliona hilo na ni kitu kilichotufanya karibuNitafanyaje zaidi ya kukubali tu!π
Japo muandiko uleule pen tofauti
πππshida ni kudanganywaUnantishia tu, nshakuambia npunguzie hiyo gharama wala hautaki ....π
Jama jama jamaaaππ.hii id naipiga chin si muda π€£π€£Mimi posta ndo mitaa yangu
Halafu Ivan Stepanov kuna kipindi nilihisi upo mitaa ya jengo moja refu hiviii
Hiyo ofisi siku ya jumatano mchana wanakula kukuπ€
Nimepatia?Jama jama jamaaaππ.hii id naipiga chin si muda π€£π€£
Bhasi ni simple π, akupe direction utuoneMimi posta ndo mitaa yangu
Halafu Ivan Stepanov kuna kipindi nilihisi upo mitaa ya jengo moja refu hiviii
Hiyo ofisi siku ya jumatano mchana wanakula kukuπ€
Huwa unajichanganya sana ππJama jama jamaaaππ.hii id naipiga chin si muda π€£π€£
Yeye akiniambia kua yupo ofisi ambao jumatano wanakula kuku basi nishamjua!!
Ivan Stepanov Eyce akireply mmoja mwingine anapotea kwa dk kadhaaPosta bhana ππ kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula ππ
Wewe imani yako ni ndogo sana..bado tu unasoma mchezo? πIvan Stepanov Eyce akireply mmoja mwingine anapotea kwa dk kadhaa
Kwamba network inasumbua kulog in and outπ
Na mimi almanusura nimuulize ephen_ wewe ndio supplier??Posta bhana ππ kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula ππ
Hapana ephen_Mchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kukuπ
Mimi napendelea mara nying kula nje ya ofisi.Mchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kukuπ
Location yangu ni adjucent to Ttcl HqMchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kukuπ
Itakua nimechanganya mafile.Location yangu ni adjucent to Ttcl Hq
Nadhani mii ndo mhanga wa kudanganywa πΉπππshida ni kudanganywa
Sasa madam SI wa juzi juzi au generation z, mbona mna tuonea hivyoπ€Mimi ndo nimejiekea hivyo kua watu wengi wa kweli ni wale joined 2017 kurudi nyuma tuliobaki wengi wasanii.
Aisee π€£π€Posta bhana ππ kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula ππ