Nani unamu-admire hapa JF?

Aisee white au maji ya kunde, ndo best form zangu πŸ€“πŸ˜‚.

Siku niki enda Tena tanga,tuongozane ili ubadilishe kauli πŸ€“
Waja Leo waondoka leo nilishawahi kwenda pale kwenye harusi ya Dada yake demu wa Mshikaji wangu halafu Mshikaji alikuwa hapendwi na Wazazi wa yule demu yaani tulikuwa kama Wazamiaji kwenye ile harusi. πŸ˜‚
 
Kulikuwa na Mwamba wa huko Mbeya alikuwa anajiita mikatabafeki sijui naye yuko wapi? Nilishawahi kutana nae pande za Iringa kule sana maji ya dhahabu.
 
I admire you silently Mkuu πŸ™πŸ˜Š
 
Waja Leo waondoka leo nilishawahi kwenda pale kwenye harusi ya Dada yake demu wa Mshikaji wangu halafu Mshikaji alikuwa hapendwi na Wazazi wa yule demu yaani tulikuwa kama Wazamiaji kwenye ile harusi. πŸ˜‚
Kaka Mwaka Jana, nilikuwa mtaa wa barabara ya 15 kule.

Aisee ili Baki kidogo tu, wangekuta Nisha oa kuleπŸ˜‚, maana chakula kizuri na ndo ugonjwa wangu🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…