Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,061
- 82,658
Apo kwa gwajima naunga mkono hojaMimi Niko kwenye mawaziri.
Nampenda Sana Dk Gwajima, sio kwa shepu yake Bali kwa mbwembwe zake na utendaji wake wa kazi.
Jamani simpendi Jenista, hajawahi kunikosea Ila Basi tu, nikimuona mu tiivii nabadilisha chaneli mpaka aondoke. Mwingine nisiyempenda Ni Nape na mwenezi. Hawajanikosea sema damu zetu haziendani.
Ni mada ya 2011 hii mdogo wanguHapa ni wapi tena
πππππ nimecheka mpk nimekohoa sijui ndio kupaliwaMi nakua wa kwanza kusema nnaowadmire ni wengi kuliko wanaonishangaza...kwahiyo hawa ntawataja baadae!Anaeniboaga ni NN au Nyani Ngabu ukipenda...yani mshkaji ye michango yake mingi inaashiriabye anajiona ni bora kuliko!Kila kitu anajua yeye...na kila mtu amsikilize yeye.Kama tungekua tunaongea kwa sauti ningesema ni mmoja wa wale watu wasionyamazaga na kumuacha mwingine aongee.Hata kama hajui kitu atajifanya na kungania anajua!
Polee sana πππππππ nimecheka mpk nimekohoa sijui ndio kupaliwa
TRUE! ππΎππΎHalafu Dr Lizzy joining yako SI 2009 hapo π, tz SI ilikuwa ishakuwa connected jamani.
Beside nilikuwa natumia black berry bold mzee ali niachia, kuhusu internet kulikuwa na cafe maeneo ya home,
Hiyo cafe ilikuwa na computer 3 zile za kisogo Kama ma tv, Nime zulula Sana pale.
Ameamua tu kuongea πππUnaongea na nani hapa Mwanakijiji? Au unajiongelesha mwenyewe π€£β¦.
Maana uzee unatunyemelea..
Mtafute melo pm mwombe akuunganishe nayo kama ipoTRUE! ππΎππΎ
Ila mi nilikuwepo tokea '06 ikiwa Jambo Forums. Not sure what happened to my first ID.
Seriously? Werenβt you like 5 years old in β06? π€£π€£TRUE! ππΎππΎ
Ila mi nilikuwepo tokea '06 ikiwa Jambo Forums. Not sure what happened to my first ID.
Aisee una kingine Cha kusema??, we USI ulize pigia mstari tu.Siwezi kushauriwa na mtoto wa 2001 ambae ni jobless Hana kazi kazi yake ni kuomba afu 3 Tena kwa demu Cc Lamomy
Hamna standard Kaka, ni vile niki amua kuwa independent.Sijui Kijana jinsi ulivyoseti standard zako humu JF maana nyinyi Vijana huwa mna mambo magumu sana πππ
Yaani bila kuchukiwa Wewe ni kiazi tu na inatakiwa ujiulize kwanini hakuna Mtu anayenichukia?Hamna standard Kaka, ni vile niki amua kuwa independent.
Watu Wana geuka haters for nothing
Yaani we were quite cool, Mimi kuweka limits zangu, ime geuka vita ππYaani bila kuchukiwa Wewe ni kiazi tu na inatakiwa ujiulize kwanini hakuna Mtu anayenichukia?
Habari ndio hiyoo yaani unyimwe afu 3 unichukie na mieAisee una kingine Cha kusema??, we USI ulize pigia mstari tu.
Ila jibu ni kwamba stay away
Futa na number yangu usijaribu Tena kunipigia Mimi sio kaka yako na usiombe ombe Tena pesa hovyoAisee una kingine Cha kusema??, we USI ulize pigia mstari tu.
Ila jibu ni kwamba stay away