Alikuwa mwingereza aliyezaliwa India mwaka 1945. Alisoma Philosophy chuoni Cambridge na kuwa mwanafunzi mzuri sana wa Plato. Baadaye alipata draft kwenda jeshini ambapo ndipo alipopata kumjua MUNGU akiwa huko kwenye jangwa za north Africa. Alitokea kuwa Mwalimu wa Biblia mzuri kupindukia. Alifundisha Biblia katika namna rahisi na ya kueleweka kwa mtu wa aina yoyote. Alifariki na kuzikwa huko Yerusalem Israel mwaka 2003.