Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

Kwa hiyo mna zamu ngapi?zinaendaje?Toka Ben ,JK mpaka mchungaji Jiwe.inabid usaidiwe.
Uongozi wa nchi kikatiba hauna zamu kinachoangaliwa ni sifa za mhusika tu.ingekuwa hivyo Nyerere asingemwandaa sokoine,pili baada ya mkapa angekuwa mzanzibar .
Hivi kumbe Nyerere alikuwa akimwandaa Sokoine?
 
Hivi mbona mnatujazia server kwa nyuzi za kipuuzi? Bashite na zirooo yake hatakuwa rais wa wapi labda koromije iwe nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…