Hapo twende na Muislam 2025 kama ccm isipokufa 2020 nchi itakuwa na Neema riziki mantashall,pesa itakuwa tele mtaani,twende na Jafo,Mwinyi, au Majaliwa hawa roho zao nyeupe safi wote wananyota za pesa Mungu atatufungulia riziki baada ya kumaliza kuisoma namba zama za Giza.