Nani ni nani mgombea wa CCM 2025

Nani ni nani mgombea wa CCM 2025

Mgombea atakuwa namba 5..ameshatoa "dhaka" kama aliyemtangulia
 
Kwani tunatafuta Mufti?
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025

je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?

huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila kaada wa ccm anamgombea wake mfukoni ila vikao sio vingi sana hii imesababiswa na usirias wa magufuli kwa mtazamo wake hataki mtu awe maarufu kuliko chama ndio maana kila anayeenda rofauti na mzee ndani ya chama anajikuta katika hali ya kushambuliwa na viongozi ndani ya chama

tuachane na hilo je ni nani ana nafasi kubwa kupeperusha bendera ya ccm na sababu ni zipi?

sifa za mgombea wa uRAIS 2025 hizi hapa

1. lazima awe muislam sio muislam tu awe member wa bakwata
2.lazima awe mbunge au waziri (mgombea hawezi kutoka mtaani haiwezekani)
3.lazima awe anakubalika kwa Rais iliyeko madarakani ( lazima mgombea amtii magufuli kwa miaka kumi mfululizo km magufuli alivyomtii kikwete)
4.lazima mgombea akubalike na angalau marais wawili waliokwisha staafu
5.lazima mgombea akahakikiwe na makamu mwenyekiti wa chama kuna sehemu mgombea anapelekwa kukaa na makamu mwenyekiti wa chama kuongea na wazee wapo wazee kama sita hivi kazi yao nikujihakikishia mambo fulani (miiko ya nchi)
6.lazima mgombea akubalike na mwenyekiti wa chama.
7.Lazima mgombea awe tayari kulinda muungano kwa gharama yeyote ile
8. mgombea ambaye magu atamuamini kuendeleza hii miradi mikubwa isigeuke white elephant
N
B hizi sifa hazipo kwenye katiba ya chama ila ndio sifa kuu za kwanza kuliko hata kiwango cha
elimu au maadili ya mgombea

je ni kina nani wana nafasi kubwa ya kudondokewa na bahati ya kupeperusha bendera ya ccm kulingana na sifa za mgombea hapo juu?

1.hussein mwinyi
huyu anapewa 8/10 taarifa za chini kwa chini za makaada zinasema mwakani ataenda kugombea Urais visiwani na mzee magufli akimaliza muda wake 2025 ndiyw atakayerudi kupeperusha bendera ya chama bara na visiwani hata baba yake alianzia visiwani kabla ya kugombea urais visiwani na akiondoka kule atamwachia waziri wa maji wa sasa profesa makame mbarawa myaa kukalia kiti cha visiwani

2.kassim majaliwa
waziri mkuu wa Tanzania anatajwa chini kwa chini hata jinsi anavyojiweka unaona ana ndoto fulani katika nchi hii japo nafasi aliyekalia imekuwa na gundu toka nchi ipate uhuru labda yeye ndio atakuwa wa kwanza tuendelee kuwa na subra

3 dr.shein
huyu ni moja ya makaada wachache wa visiwani waaminifu na siasa za mwalimu nyerere anapiwa chapuo sana japo mwenyewe amekuwa akisikika mara kwa mara kuwa anataka kupumzika baada ya 2020 lakini jina lake linasemwa sana na ni anaaminika sana hana makundi wala upande
4 Suleiman jafo
toka aingie kwenye baraza la mawaziri awamu ya tano amekuwa ameonesha uwezo mkubwa sana atendaji wake unaonekana naye anatajwa tajwa sana na makaada pia ankubalika na makundi ya wasio vigogo na baadhi ya vigogo ndani ya chama ni mwaminifu na mtiifu kwa boss wake na amejiweka mbali na kundi la vijana inalomkosoa sana mwenyekiti kumbuka kuna kundi linamkosoa hadhsrani na lingine kwa kificho na taarifa zao zipo lumumba ila huyu kijana ameepuka hili
5 khamsa kingwangwala
huyu jamaa ni jembe sana sema hana nyota ya kutajwa ni kiongozi moja mzuri sana ana kila kitu nimemfatilia binafisi ana sifa zote za kupeperusha bendera ya ccm na pia anajua namna ya kujishusha alikuwa na utoto mwanzoni ila amekomaa sana kwa sasa loote linaweza kutokea cv yake imeshiba sana any thing can happen
6.bernad membe
kwanza ieleweke wazi hizi kelele za membe sasahivi zinamalengo ya kumfanya aendelee kusikika ili 2025 asipate taabu kujitangaza kama mnavyojua siasa za Tanzania kama sio mbunge huwezi kuwa na nguvu yeyote ya watu kukufatilia kwa hiyo mzee membe anajiandalia mazingira ya kugombea 2025 ila sasa bifu lake na mzee sijui atatoboaje kwenye nec ile ya watu watano japo kila kitu kinawezekana kwa kuwa ni mzoefu wa michezo ya siasa wanaweza wakakaa chini na mzee wakamaliza bifu njia ikawa rahisi kugombea ubunge
wengi watuliza bernad kaingiaje hapo wakati hii ni awamu ya bakwata? ukweli ni kuwa mzee nae ni bakwata kwa habari za kina
8.makamba january
huyu kijana unaweza kumhurumia tu kwa kuwa ndiye aliyejiapiza kuutaka urais kwa gharama yeyote alifanya kosa kubwa sana 2015 baada ya kuukosa uwaziri mkuu alijiamini lazima awe waziri mkuu ila alipokosa hakuonyesha kitoridhika na baadala yake alitunia lugha ya picha kumkashifu mzee nafikiri hili tukio linamnyima mengi sana kwenye utawala wahuu na hili tukio litamgharimu sana huko mbeleni kama tunavyojua mzee moja ya vitu asivyovipenda ni dharau
pia huyu mh anaonekana yupo karibu zaidi na wafanya biashara wenye asili ya asia na hawa watu hawaaminiki hata kidogo na deep state kitu kinachopelekea yeye binafsi asiaminike miongoni mwa makaada wengi ndani ya ccm
9.tunaweza tukapata mgombea wa suprise (magu hatabiriki)
hapa lolote linaweza likatokea na kusababisha ccm kuvunjika vipande vipande zaidi ya ilivyotokea ile 2015

ahsante kunisikiliza
 
Huu ndio ujinga unaorudisha nchi yetu nyuma kila baada ya decade 1....

Tunaongelea 2020 wewe unaleta abrakadabra za 2025 hapa.
Huu udini umetokea wapi, kiongoz hachaguliwi kwa kwa dini, wala Kabila lake...Kiongozi huchaguliwa kwa uwezo alionao, na maono mema juu ya Tanzania..Tuache ujinga Huo.
 
Kwa mustakabali wa nchi hii ccm haitakiwi kutawala tena ,waendelee kuongoza familia zao tu .
 
Waganga,watabiri nyota na wanaooneshwa watakujibu...hivi niulize hamnaga jukwaa LA biashara tutumiane mahindi,maharage,viazi nk. Biashara zinshakua ngumu hapa nawaza ada haijai...
Aliyetayari tuungane tutafute feza...ada sina niwaze rais wa 2025.
#siasa hazishibishi
 
Ndugu mleta hoja hauko mbali sana na mawazo na ndoto zangu lakini nadhani Jafo ndio atakuwa raisi.
 
Rais tunachagua mwingine 2020 kwani ni muhim sana kubadili rais kipindi hicho kuliko kipindi chochote kile tangu kuumbwa kwa nchi hii, korosho inaoza, tumbaku imebuma, Pamba imekwama, Sasa huyu akipewa tena 2020 nchi itakufa kifo cha mende hivyo ili kuokoa jahazi huyu ni mwenzetu lakini 2020 atupishe Ikulu akafanye shughuli zake, kama ni Shamba akalime kama ni mifugo aende akachunge HIVYO MLETA MADA SISI HATUNA MPANGO NA 2025 KAMA UMETUMWA KUJA KUPOTEZEA KUHUSU 2020 KAMPE SALAMU KUWA 2020 MTU ATACHAPA LABA, YAANI CHAFU HIVI UNALETA POROJO ZA 2025?
 
Wote hao wachumia Tumbo - hakuna mtetezi wa wanyonge hapo

1 - Tangu Rais aseme wafanyakazi wapate FAO LA KUJITOA, bado hii haki kupatikana..Sekta binafsi ni kilio kila uchao, NSSF wameshindikana na waziri jenister mhagama ni kama ameipotezea kauli ya Rais ya kuifuta sheria mpya hadi 2023- Kwa nini wizara isipeleke marekebisho bungeni kufuta sheria kandamizi? ---Serikali Ya Kibeberu kukandamiza wanyonge.

2.Yaani wafanyakazi sekta binafsi wanafanya kazi katika mazingira magumu sana, bado mshahara ni kdg sana...halafu na kupoteza kazi ni any time....Bado Mabeberu wanakaba na kale ka Akiba
 
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025

je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?

huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila kaada wa ccm anamgombea wake mfukoni ila vikao sio vingi sana hii imesababiswa na usirias wa magufuli kwa mtazamo wake hataki mtu awe maarufu kuliko chama ndio maana kila anayeenda rofauti na mzee ndani ya chama anajikuta katika hali ya kushambuliwa na viongozi ndani ya chama

tuachane na hilo je ni nani ana nafasi kubwa kupeperusha bendera ya ccm na sababu ni zipi?

sifa za mgombea wa uRAIS 2025 hizi hapa

1. lazima awe muislam sio muislam tu awe member wa bakwata
2.lazima awe mbunge au waziri (mgombea hawezi kutoka mtaani haiwezekani)
3.lazima awe anakubalika kwa Rais iliyeko madarakani ( lazima mgombea amtii magufuli kwa miaka kumi mfululizo km magufuli alivyomtii kikwete)
4.lazima mgombea akubalike na angalau marais wawili waliokwisha staafu
5.lazima mgombea akahakikiwe na makamu mwenyekiti wa chama kuna sehemu mgombea anapelekwa kukaa na makamu mwenyekiti wa chama kuongea na wazee wapo wazee kama sita hivi kazi yao nikujihakikishia mambo fulani (miiko ya nchi)
6.lazima mgombea akubalike na mwenyekiti wa chama.
7.Lazima mgombea awe tayari kulinda muungano kwa gharama yeyote ile
8. mgombea ambaye magu atamuamini kuendeleza hii miradi mikubwa isigeuke white elephant
N
B hizi sifa hazipo kwenye katiba ya chama ila ndio sifa kuu za kwanza kuliko hata kiwango cha
elimu au maadili ya mgombea

je ni kina nani wana nafasi kubwa ya kudondokewa na bahati ya kupeperusha bendera ya ccm kulingana na sifa za mgombea hapo juu?

1.hussein mwinyi
huyu anapewa 8/10 taarifa za chini kwa chini za makaada zinasema mwakani ataenda kugombea Urais visiwani na mzee magufli akimaliza muda wake 2025 ndiyw atakayerudi kupeperusha bendera ya chama bara na visiwani hata baba yake alianzia visiwani kabla ya kugombea urais visiwani na akiondoka kule atamwachia waziri wa maji wa sasa profesa makame mbarawa myaa kukalia kiti cha visiwani

2.kassim majaliwa
waziri mkuu wa Tanzania anatajwa chini kwa chini hata jinsi anavyojiweka unaona ana ndoto fulani katika nchi hii japo nafasi aliyekalia imekuwa na gundu toka nchi ipate uhuru labda yeye ndio atakuwa wa kwanza tuendelee kuwa na subra

3 dr.shein
huyu ni moja ya makaada wachache wa visiwani waaminifu na siasa za mwalimu nyerere anapiwa chapuo sana japo mwenyewe amekuwa akisikika mara kwa mara kuwa anataka kupumzika baada ya 2020 lakini jina lake linasemwa sana na ni anaaminika sana hana makundi wala upande
4 Suleiman jafo
toka aingie kwenye baraza la mawaziri awamu ya tano amekuwa ameonesha uwezo mkubwa sana atendaji wake unaonekana naye anatajwa tajwa sana na makaada pia ankubalika na makundi ya wasio vigogo na baadhi ya vigogo ndani ya chama ni mwaminifu na mtiifu kwa boss wake na amejiweka mbali na kundi la vijana inalomkosoa sana mwenyekiti kumbuka kuna kundi linamkosoa hadhsrani na lingine kwa kificho na taarifa zao zipo lumumba ila huyu kijana ameepuka hili
5 khamsa kingwangwala
huyu jamaa ni jembe sana sema hana nyota ya kutajwa ni kiongozi moja mzuri sana ana kila kitu nimemfatilia binafisi ana sifa zote za kupeperusha bendera ya ccm na pia anajua namna ya kujishusha alikuwa na utoto mwanzoni ila amekomaa sana kwa sasa loote linaweza kutokea cv yake imeshiba sana any thing can happen
6.bernad membe
kwanza ieleweke wazi hizi kelele za membe sasahivi zinamalengo ya kumfanya aendelee kusikika ili 2025 asipate taabu kujitangaza kama mnavyojua siasa za Tanzania kama sio mbunge huwezi kuwa na nguvu yeyote ya watu kukufatilia kwa hiyo mzee membe anajiandalia mazingira ya kugombea 2025 ila sasa bifu lake na mzee sijui atatoboaje kwenye nec ile ya watu watano japo kila kitu kinawezekana kwa kuwa ni mzoefu wa michezo ya siasa wanaweza wakakaa chini na mzee wakamaliza bifu njia ikawa rahisi kugombea ubunge
wengi watuliza bernad kaingiaje hapo wakati hii ni awamu ya bakwata? ukweli ni kuwa mzee nae ni bakwata kwa habari za kina
8.makamba january
huyu kijana unaweza kumhurumia tu kwa kuwa ndiye aliyejiapiza kuutaka urais kwa gharama yeyote alifanya kosa kubwa sana 2015 baada ya kuukosa uwaziri mkuu alijiamini lazima awe waziri mkuu ila alipokosa hakuonyesha kitoridhika na baadala yake alitunia lugha ya picha kumkashifu mzee nafikiri hili tukio linamnyima mengi sana kwenye utawala wahuu na hili tukio litamgharimu sana huko mbeleni kama tunavyojua mzee moja ya vitu asivyovipenda ni dharau
pia huyu mh anaonekana yupo karibu zaidi na wafanya biashara wenye asili ya asia na hawa watu hawaaminiki hata kidogo na deep state kitu kinachopelekea yeye binafsi asiaminike miongoni mwa makaada wengi ndani ya ccm
9.tunaweza tukapata mgombea wa suprise (magu hatabiriki)
hapa lolote linaweza likatokea na kusababisha ccm kuvunjika vipande vipande zaidi ya ilivyotokea ile 2015

ahsante kunisikiliza
Kama ni zamu ya mwislamu basi Prof Lipumba atatosha maana hakuna wa kumzidi maarifa labda yule alhaj Prof Mussa Assad.

Bakwata sidhani!
 
CCM wanazarau sana eti wanawaza 2025 kwa sababu 2020 majibu wanayo tayari.
NACHOONA NI KUWA CCM HAINA MPANGO WA KUTOKA LEO HADI WANANCHI NCHI NZIMA WAIKATAE KWA PAMOJA THROUGH MASS MOVEMENT

Mkuu kila nchi ina kanuni bubu!
 
Back
Top Bottom