mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Kila nikitafakari sipati picha!ni ujasiri ulioje?hivi dhahama la tetemeko la ardhi serikali ikafungua akaunti maalum ya michango kusaidia maafa Kagera....
Then kuna ndugu wajasiri wao wakafungua ya kwao inafanana na ile akaunti maalum wapige mpunga!zama hizi huu ujasiri unatoka wapi?kila kukicha nchi hii haikosi maajabu....hii inadhihirisha yafuatayo;
1.Kuna waungwana ni majasiri kupita maelezo yaani anaweza mkaba roba simba dume kavukavu.
2.Tulikua tunapigwa sana wakati wa kuchangia maafa..kupita kiasi