wapi naeza pata window 8 activator..please kama kuna mtu anaYo naomba a post link ili niweze ku-unstall kwa sabäbu napata shida sana katika suala zima la internet kwenye ma laptop..natanguliza shukran zangu
Jaribu hiyo ya NingaRjaman mwenye nao msaada tafadhal
jaribu hiyo.
kama win8 pro tumia hii http://dl.jaytee.in/somnath/W8_Act.zip , it works like charm....
Crackers inaonekana wamechemsha mpaka sasa kwenye Windows 8, activator zote ni temporary siku 180, inabidi urudie upya, MS wamewashika pabaya this time.