1.Kwa mujibu wa SERA YA ELIMU YA MWAKA 2014 Elimu msingi ni kuanzia Darasa la kwanza hadi kidato cha nne.
2.Ndio neno Shule ya Msingi lipo: kisera tafsiri yake inajumuisha miundombinu ya Elimu msingi Kwa ngazi ya awali yaani Darasa la kwanza hadi la Saba! Kwa kiingereza "Primary School" don't confuse with "Primary Education"-Elimu ya msingi
3.Upimaji wa mtihani form two upo hivii:
Ili mwanafunzi avuke kidato cha pili kwenda kidato cha tatu anatakiwa kufanya mtihani wa taifa na kufaulu kuanzia wastani wa alama 30% yaani D(Pass) had A
Mwanafunzi yeyote atakayeshindwa kufikisha wastani wa alama "D" yaani aliepata "F"0-29% anatakiwa kurudia Darasa/kukariri kidato!!
Hayo mengine mengi yaseme!
Kuhusu kuwauliza walimu ukakosa majibu siyo kweli (pangilia maswali yako vizuri,then uliza Mwalimu zaidi ya mmoja)Hasa walimu wakuu na wakuu wa shule wana majibu yoote.