mnankawe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 178
- 97
Je ni kweli kwamba anayo hayo mamlaka ya kufukuza yeye pekee?Mwanafunzi wa shule ya msingi Kakuyu amefukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu wake wa Kiingereza ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo kuwa dagaa kwa Kiingereza anaitwaje?
Mwalimu huyo aliposhindwa kujibu swali hilo alihamaki, akamcharaza mtoto huyo
bakora sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu makali mwilini
mwake na akahitimisha kwa kumwandikia barua ya kumfukuza shule kwa madai ya
utovu wa nidhamu na kutumiwa kama kibaraka wa maadui wa mwalimu huyo.
Itapendeza pia na wewe muanzisha uzi ukatuwekea hiyo barua ya kufukuzwa shule kama chanzo cha hbr hii.isije ikawa na habari za vijiweni zilizo ongezwa chumvi