Always in this world circumstances things are Two !
(I mean pair)
Mfano -
Sweet with Bitter
Profit with Loss !
Happy with Sad!
Slow with Fast !
So far ukipenda faida kumbuka na hasara ipo .
Chukulia umenunua hizo soda ukiwa huna chupa .
Mkakubaliana na mwenye duka (Mangi) uache deposite ya chupa 300@ .
Ukafanya hivyo, ukiwa hom umempa mgeni wako soda (ambayo haikuwa na zawadi)
Bahati mbaya mgeni wako kadondosha chupa ikavunjika.
Wakati unarudisha chupa zilizobaki itawezekana huyo mgeni ndo alipie ile pesa ya deposite?
Jibu ni haiwezekani . Mwenye mgeni ndo utawajibika .
Na ndivyo hivyohivyo pakipatikana faida-bingo kwenye soda , obviously ni haki ya mwenye nyumba .
Sio ikitokea hasara iwe ya mwenyeji , faida iwe ya mgeni .
Haipogo hiyo maneno .