Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Kichaa kapewa rungu,Sserunkuma anaingia sasa,Maguri out!utatu mtakatifu.
 
mshabiki wa 4 wa yanga amepoteza fahamu na anatolewa nje kwa machela.
 
Watangazaji bana ...kwa nini Hawasemi Daniel tu ikatosha..
 
Ngapi ngapi? Maana wengine tunasubiri kipyenga cha mwisho tuondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…