Nilipokuwa naye mbona hakuwa na uhusiano na huyo mtu?alidanganywaje wakati anajua nina uhusiano naye?je alijiweka mazingira gani mpaka adanganywe?
Gaga pete ya uchumba nilishawahi kumvalisha moja na bado nikamfumania,kwa hiyo kweli pete haina msaadaPole sana Excellent mimi nafikiri wakati unakuw kwenye uhusiano ulikuwa huonyeshi kama upo serious na hao wasichana wako,ndio maana waliweza kufanya hayo, at least ungempa pete ya uchemba ili ajione yuko commited,
Pole Exellent!
Kuna wadada wengine hawana hizo mambo ndugu yangu, hao ulokuwa nao watakuwa vicheche tu,
(aahhh hebu njoo kwangu uone kama hujaja hapa JF kusema "wadada wakipenda hupenda kweli" ohh mara "kuna dada kaning'ang'ania "
he he ehe he ) utani tu jaman kha!
Sasa kaka, yani kutendwa na wanawake hao ndo iwe na sisi wote tuko hivyo jamani? Pole, lakini mimi pia nimetendwa na mwanaume mmoja, na huwa namuona kama Mbwa kwa matendo yake. Je wanaume wote ni mbwa ka huyu ninaemuona ka mbwa? Samehe tulia utakutana tu na anayekupenda.
Ila wanawake hamueleki kabisa nimeshasalitiwa live bila chenga yaani ile unaona anascreem kabisa.sasa hv nimekuwa sugu sana nina mpango mkakati kwa sababu mwanamke anatongozwa hovyo hovyo! Nimeapa i wil never walk with one girl!
ehh wewe kutendwa na ivo vinguchiro vyako ndo useme wanawake wooote koma babu
na mimi niliyetendwa na mwanaume basi niseme wanaume wooote paka2?
si wanawake wote wabaya
si wanaume wote wabaya
akuna haja ya kujumlisha jinsia na kuijaji kwa ujumla wake.
byeeee.....
Kati ya mwanamke na mwanaume nani ni mwepec kumsalti mwenziwe?