Nani mmiriki wa Ngurudoto?

Nani mmiriki wa Ngurudoto?

Ni meleo awio mrema. Ambae pia ni mmiliki wa naura spring, impala, moshi hotel, impala moshi. Pia anamiliki victoria tower ambapo airtel arusha wamepangisha na kcb bank. Pia anamiliki fiona tower ambayo inaendelea kurekebishwa' akiwa na ubia na nhc. Pia ana ndurumanga farm iko nyuma ya polisi usa river, na amenunua magorofa ya kili tex. Yaliyopo njia ya njiro zaidi ya hapo anamiliki nyumba za kutosha maeneo mengi hapa arusha pia ni mfanya biashara safi sio fisadi... Mungu amuongezee.
 
Ze Nkapa.

si kweli mnamuonea nkapa bure mrema amefanya kazi kwa miaka mingi tena kwa juhudi kubwa namfaham tangu akiwa na land rover moja ya kijani mandolini... Huyu ni mtu wa kazi alikuwa anakaa nhc room moja namba 301 makao mapya hakika ni mtu wa kazi
 
Acha umbea mtoto wa kiume ukijua then utafanyaje sasa
Aya ni yangu mimi sema unataka kuinunua ?
 
Ni meleo awio mrema. Ambae pia ni mmiliki wa naura spring, impala, moshi hotel, impala moshi. Pia anamiliki victoria tower ambapo airtel arusha wamepangisha na kcb bank. Pia anamiliki fiona tower ambayo inaendelea kurekebishwa' akiwa na ubia na nhc. Pia ana ndurumanga farm iko nyuma ya polisi usa river, na amenunua magorofa ya kili tex. Yaliyopo njia ya njiro zaidi ya hapo anamiliki nyumba za kutosha maeneo mengi hapa arusha pia ni mfanya biashara safi sio fisadi... Mungu amuongezee.
TOOOOSHAAAAAAAAAA, utanipa presha buuure kijana wa watu!.
 
Ni meleo awio mrema. Ambae pia ni mmiliki wa naura spring, impala, moshi hotel, impala moshi. Pia anamiliki victoria tower ambapo airtel arusha wamepangisha na kcb bank. Pia anamiliki fiona tower ambayo inaendelea kurekebishwa' akiwa na ubia na nhc. Pia ana ndurumanga farm iko nyuma ya polisi usa river, na amenunua magorofa ya kili tex. Yaliyopo njia ya njiro zaidi ya hapo anamiliki nyumba za kutosha maeneo mengi hapa arusha pia ni mfanya biashara safi sio fisadi... Mungu amuongezee.

Unasema?.. mungu amuongezee?..ni kweli unamaanisha hivyo?..akiongezewa zaidi ya hapo unadhani atazidi kukuhonga zaidi? ..
 
kuna mkapa,Askofu Eliudi Ishangya(sakila) na Mrema wa impala
 
Ni meleo awio mrema. Ambae pia ni mmiliki wa naura spring, impala, moshi hotel, impala moshi. Pia anamiliki victoria tower ambapo airtel arusha wamepangisha na kcb bank. Pia anamiliki fiona tower ambayo inaendelea kurekebishwa' akiwa na ubia na nhc. Pia ana ndurumanga farm iko nyuma ya polisi usa river, na amenunua magorofa ya kili tex. Yaliyopo njia ya njiro zaidi ya hapo anamiliki nyumba za kutosha maeneo mengi hapa arusha pia ni mfanya biashara safi sio fisadi... Mungu amuongezee.
kwa jinsi li muongo lilivokuwa liongo eti lilidai tena kwa kubetua milipsi juu... hakuna mtanzania atakeweza kuwekeza vitalu vya gesi hapa tanzania..wanaweza kuwekeza kwenye maji na pipi".. kumbe kuna ma don wamekula buyu wanasikilizia tuu mambo yajipe..!!
 
Back
Top Bottom