mycall JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 867 Reaction score 523 Oct 23, 2015 #41 barafuyamoto said: Kwa nini hujiulizi MwanaHalisi ni la nani? Kuwa neutral. Click to expand... Na wewe anzisha uzi wako , tutachangia. Jamaa kauliza juu ya gazeti la Habari leo, wewe unaingiza mambo ya Mwana halisi. Kama huna cha kuchangia si upite tu.
barafuyamoto said: Kwa nini hujiulizi MwanaHalisi ni la nani? Kuwa neutral. Click to expand... Na wewe anzisha uzi wako , tutachangia. Jamaa kauliza juu ya gazeti la Habari leo, wewe unaingiza mambo ya Mwana halisi. Kama huna cha kuchangia si upite tu.
hunchback JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 658 Reaction score 289 Oct 24, 2015 #42 Habari leo ni gazeti la serikali lakini kama ilivyo kwa vyombo vingine vya serikali limegeuzwa kuwa la chama cha mapinduzi.
Habari leo ni gazeti la serikali lakini kama ilivyo kwa vyombo vingine vya serikali limegeuzwa kuwa la chama cha mapinduzi.
hunchback JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 658 Reaction score 289 Oct 24, 2015 #43 kimpango said: ni sawa lakini kuiweka dar peke yake inaumiza watanzania wengine especially wale waliomaliza llb kutoka mikoani pia inawabagua watanzania kwani bodi ya mkopo haihusiki huko na wengi hatuna uwezo wa kujisomesha Click to expand... Tanzania daima inamilikiwa na free media.
kimpango said: ni sawa lakini kuiweka dar peke yake inaumiza watanzania wengine especially wale waliomaliza llb kutoka mikoani pia inawabagua watanzania kwani bodi ya mkopo haihusiki huko na wengi hatuna uwezo wa kujisomesha Click to expand... Tanzania daima inamilikiwa na free media.