Serikali kupitia shirika lake la Tanzania Standard Newspaper. Ndo wanachapisha na Daily News
Habari Leo, Daily News, TBC, Sunday News ni magazeti ya serikali, yanaendeshwa kwa kodi za wananchi. Ni jambo la ajabu kabisa kuwa vyombo hivyo vinatumika na CCM.
Tanzania Daima ni la binafsi lina haki ya kuwa mrengo linaoutaka, not habari Leo.Nani mmiliki wa Tanzania daima??? Maana wanaandika habari za ukawa tuu
Hili gazeti ni Mali ya umma na sio mtu binafsi,Tanzania Daima na Mwanahalisi ni magazeti ya watu binafsi, unafananishaje na gazeti la umma? Mbona hujaulizwa kuhusu raia Mwema au jambo Leo la Juma mpito?Nani mmiliki wa Tanzania daima??? Maana wanaandika habari za ukawa tuu
Hili gazeti ni Mali ya umma na sio mtu binafsi, Tanzania Daima na Mwanahalisi ni magazeti ya watu binafsi unafananishaje na gazeti la umma? Mbona hujaulizwa kuhusu raia Mwema au jambo Leo la Juma mpito?
kwa nini hujiulizi mwanahalisi ni la nani? Kuwa neutral.
Hebu tuwe wakweli hata kwa nafsi zetu badala ya kujiruhusu kuwa watumwa wa siasa uchwara,Kwa nini hujiulizi MwanaHalisi ni la nani? Kuwa neutral.
Nani mmiliki wa Tanzania daima??? Maana wanaandika habari za ukawa tuu
Nani mmiliki wa Tanzania daima??? Maana wanaandika habari za ukawa tuu