Nani mmiliki wa Dunia?

Oukey... Sawa, mie nikadhani nawe wa huko! Mie wa Nyamwaga bhana.......

Wow, wa Nyamwaga ????!!!! Kweli JF ni zaidi ya vyote, hebu niambie eneo gani Centre, Keng'amu, Makerero, Gokemange, Kwiriba, Mwikarerye, Keisangora, Kimusi, Kona nne. Kwa uafafanuzi huu, waweza ona mimi ni wa wapi. Hebu, nenda kwenye pm.
 
Mmiliki wa dunia ni yule mwenye masilaha makubwa makubwa

Huyo ndo anakupangia cha kufikiri,cha kuvaa,cha kula,cha kuongea na cha kuamini
 
U bonge la elimu mkuu
 
Shenzi kabisa eti mungu aliwatumia wazungu kuigawa afrika, usimshirikishe mungu na ushenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…