Nani mmiliki wa Dar es salaam Zoo?

mkatangara

Member
Feb 28, 2012
37
5
Jamani naomba kujulishwa kwa wenye ufahamu, nani anamiliki Dar es salaam Zoo?
Natanguliza shukrani kwa kupatiwa jibu lenye uhakika.
 
Inamilikuwa na familia moja hivi yenye asili ya kizanzibari...shombe shombe beibyyy!
 
Msichanganye Mambo Kuna Oilcom Estate na Dar Zoo Estate zote zinapakana
•Oilcom anafuga ngamia,ngombe,punda,mbuzi etc
•Dar Zoo ana Zoo ya wanyama
 
Dar Zoo ile ya kigamboni?halafu kuna msikiti pale,itakuwa ni ya muarabu
 
Jamani nielekezeni niende nikaitembelee hiyo Zoo. Maana sijawahi kuisikia. Pia na hapo Oilcom wanapofunga Ngamia. (Tuvumiliane jamani..wengine mjini wageni).
 
ni ya tajiri mmoja anapatikana amana infact ni group of arabs wanatengeneza vyakula vya mifugo na kuuza madawa ya kilimo na mifugo za ANUPCO
 
Jamani nielekezeni niende nikaitembelee hiyo Zoo. Maana sijawahi kuisikia. Pia na hapo Oilcom wanapofunga Ngamia. (Tuvumiliane jamani..wengine mjini wageni).

me nafuga nyoka na mamba ndo nimeanza mradi so sijulikani sana nikuelekeze?
 
ni wale waarabu waliotorosha twiga kwa ndege ya jeshi la Qatar bila JWTZ kujua..!
 
Jamani nielekezeni niende nikaitembelee hiyo Zoo. Maana sijawahi kuisikia. Pia na hapo Oilcom wanapofunga Ngamia. (Tuvumiliane jamani..wengine mjini wageni).

mkuu.. nenda kigamboni, elekea mji mwema, turn right elekea mpaka sehem inaitwa kibada, kuna junction upande wako wa kushoto na kibao kikubwa tu na barabara ya vumbi heading to dsm zoo. ni kama 10 to 12 kms kwenye hiyo njia ya vumbi from kibada mpaka kufika dsm zoo .. infact unaipita compond ya oilcom (wanaiita MILKCOM) ndo unaingia dsm zoo. zote zipo upande wa kulia as u drive from kibada kwenye hiyo njia ya vumbi.
 
Mmmh sina hamu niliosikia kuhusu umiliki na uhusiano walionao na familia ya .........na yaliomkuta afisa uhamiaji mmoja mkubwa mmmmh nyie acheni nikae kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom