Nani mkweli kati ya Wananchi, Serikali na TRA?

Nani mkweli kati ya Wananchi, Serikali na TRA?

Hawana hela wanawazingizia maskini ambao hawajui mahela hayooo....au labda anazungumzia wale wa stanbic bank. Ambao walibeba kwenye magunia
 
Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.

Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
Serikali inasema watu wameficha hela.

TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*
Hii post imekaa kichochezi....teh teh teh!!!!!!

Mimi Niko bize nafyatua watoto serikali itawasomesha bure......
 
Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.

Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
Serikali inasema watu wameficha hela.

TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*

Umeandika upande nusu nusu, ulitakiwa pia uandike deni la taifa na malipo yanayofanyika kila mwezi kulipia deni hilo, malipo kwa ajili ya elimu bure na ununuzi wa ndege mpya.
 
TRA waliotoa ripoti za ukweli ni mbili tu nadhani kipindi cha mwezi wa 11 na 12 ,zingine wanapika tu hakuna ukweli wowote,muda huwa ni majibu ya uwongo wowote
 
!
!
Selikali ndiyo Tra hiyo hiyo mkuu.
Wananchi ndio wakweli kwa case ya hapo juu. Tra ni kibaraka wa Selikali, na kama selikali ni ya Magu this implies tra ni kibaraka wa Magu .
 
Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.

Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
Serikali inasema watu wameficha hela.

TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*
Kwani uchumi ndio kitu gani? Kama ni sherehe basi Ngosha atuletee na sisi huku kwetu Geza ulole tushangilie kama alivyowapelekea wambeya kupatwa kwa jua wakashangilia
 
Kuongezeka kwa ni matokeo ya kodi mbali mbali zilizopanda kwa mwaka 16/17
 
Back
Top Bottom