Shabani Kisukwenye Media Industry kuna vitu vingi vyakufanya, si lazima uwe mtangazaji, mhariri, mzalisha vipindi au vinginevyo, kuna kitu kinaitwa Voice over, uingizaji wa sauti kwenye matangazo hasa ya redio au TV,
Kwa sasa nchini kwetu hii kitu imekuwa kubwa sana na kuna watu wengi wanapiga pesa kwa hii kitu, pia kuna redio zimeajiri watu kwa kazi hizi tu, kufanya Drop, jingle, immaging etc,
mtaji wa hii kitu ni Sauti tu na usomaji mzuri wa script mbwe mbwe zingine zinafanywa na producers,
kila mtu ana aina ya matangazo anayofanya, sasa kwa sasa TZ nani ni mkali..?
mfano wa watu hao ni kama,
-Antonio Nugaz
-Reuben Ndege (ncha kali)
-Raymond Mshana
-Ezden Jumanne
-Hyper man HK
-Gardner G Habash
-Sandu G (Kidbwoy)
-Philip Mwihava
-Ephraim Kibonde r i p
Tira pia yuko vizuri kwenye classified
wengine huwa siwafahamu kwa majina, kuna yule bwana sauti yake huwa ipi TV1, mtu mbaya sana yule
CONCLUSION: ML CHRIS ndio mkali kwa sasa na bado hajapata mpinzani
na dijaro arungu sauti mbaya sijapata kuna.....Uzi huu tunaruhusiwa kuweka na wale ambao tunatamani tusiwasikie redioni? Yaani tukisikia tu vipindi vyao tunabadili chaneli...
Diva wa Clouds
huwa anaitwa nani, sauti yake ni milele aisee, wakija mpoteza yule ndio kwisha
ndio nani tena huyu Patrick masele
Patrick masele ni yule jamaaa anasikika kwenye matangazo mengi clouds
Mafano kwenye power breakfast ile sauti inasema "inalipa kusikiliza power breakfast"
Vipindi vyote vya cloud's vikiwa vinaanza lazima usikie sauti yake
"XXXL"
AMPLIFIER NA MILLARD AYO"
"DIVA THE BOSSSS"
"JAHAZI"
1:ML Chriss
2:Emphraim Kibonde.
3:Antonio Nugaz
4:Gadner
5:Mussa Hussein,Askofu Tza pia ana sauti iko yente sana pamoja na Mtozi mwanagenzi'Mwihava'kwa matangazo yaliyotulia..John Jackson'Msanuaji'pia..
Japo upande wa Jingles,Sweepers,Signtunes,Interprograms,Drops,Bambers,Teezers,ML Chriss hana mpinzani"88.1 Clouds FM Arusha","Xtra Xtra Laaargee","Inalipa kusikiliza Powerbreakfast","Bado tunaendelea kuzimomotoa ngoma kali20","Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka","Mbili Tano tano",,huyu ML Chriss sijui ni Patrick?ni nouma sana Pale Mawingu.
Wote hao uliowataja ni ma voice over wa dsm kikazi,lakini mikoani kuna ma voice over wakali sana pengine kuliko hao au sawakwenye Media Industry kuna vitu vingi vyakufanya, si lazima uwe mtangazaji, mhariri, mzalisha vipindi au vinginevyo, kuna kitu kinaitwa Voice over, uingizaji wa sauti kwenye matangazo hasa ya redio au TV,
Kwa sasa nchini kwetu hii kitu imekuwa kubwa sana na kuna watu wengi wanapiga pesa kwa hii kitu, pia kuna redio zimeajiri watu kwa kazi hizi tu, kufanya Drop, jingle, immaging etc,
mtaji wa hii kitu ni Sauti tu na usomaji mzuri wa script mbwe mbwe zingine zinafanywa na producers,
kila mtu ana aina ya matangazo anayofanya, sasa kwa sasa TZ nani ni mkali..?
mfano wa watu hao ni kama,
-Antonio Nugaz
-Reuben Ndege (ncha kali)
-Raymond Mshana
-Ezden Jumanne
-Hyper man HK
-Gardner G Habash
-Sandu G (Kidbwoy)
-Philip Mwihava
-Ephraim Kibonde r i p
Tira pia yuko vizuri kwenye classified
wengine huwa siwafahamu kwa majina, kuna yule bwana sauti yake huwa ipi TV1, mtu mbaya sana yule
CONCLUSION: ML CHRIS ndio mkali kwa sasa na bado hajapata mpinzani
Bado yupo kwaniKide bway mnyama
Huyu jamaa anajua sana1.
Nugaz
Dah RIP kwake alikua ana kipaj sana Mungu amrehemu hko alipoKibonde daaaah
Yupo, anatumiwa sana na cloudsBado yupo kwani
Mkuu laivu kuna jamaa pale dreams fm hafai anajua kweliWote hao uliowataja ni ma voice over wa dsm kikazi,lakini mikoani kuna ma voice over wakali sana pengine kuliko hao au sawa
Mfano kuna redio moja iko mbeya inaitwa Dream fm,ina ma voice over wakali sana,
Na wanatumiwa sana,katika matangazo ya biashara na kiserikali.