Wakuu mi kama naona vile Linex kwenye chorus huwa anasound poa,katika nyimbo unazozipenda nani alikuvutia kwenye chorus?
ukisema Dully Sykes huwa namkumbuka Joslin sijui kapotea wapi
***** imebidi niiingie youtube niangalie ngoma za Nature alizoshirikishwa,hii kaimba na Sqeeza naja ni noma mazee
Umenikumbusha mbali aiseee.***** imebidi niiingie youtube niangalie ngoma za Nature alizoshirikishwa,hii kaimba na Sqeeza naja ni noma mazee
ukisema Dully Sykes huwa namkumbuka Joslin sijui kapotea wapi
Ukimtaja Jislin nawakumbuka wakali kwanza, Makamua pamoja na Q jay walikuwa wakali kweli kweli!!
***** imebidi niiingie youtube niangalie ngoma za Nature alizoshirikishwa,hii kaimba na Sqeeza naja ni noma mazee
Ben pol na - G nako
unanikumbusha aliposhirikishwa na OCG kitu Akwelina!sidhani kama Matola anakumbuka au anajua hilo ngoma