Nani mkali. MESSi OR SUAREZ

Tangu lini kali ikafanana na chungu..... Muache Messi aitwe Messi
 
Messi iache hiyo mutu hapana muchezo mutu inajua kuchezea mupira nataka niisajili tupa wazembe huku congo ije ile sokwe
 
Kila mmoja ana uwezo wake binafsi, sikatai.

Ila kiumbe cha kuitwa MESSI ni kitu kingine kabisa.

Hapana chezea MESSI hata kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…