Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Nimefuatilia sana hawa wakali wawili, nikaona sio mbaya nikawashirikisha wadau wanaowafahamu, hebu tuambizane kati yao ni nani mkali zaidi ya mwingine?
KIla mmoja ana umuhimu wake
Promise me, son
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man
 
Nimefuatilia sana hawa wakali wawili, nikaona sio mbaya nikawashirikisha wadau wanaowafahamu, hebu tuambizane kati yao ni nani mkali zaidi ya mwingine?
Pia kuna mkongwe Johnny Cash.....
 
kenny mkali

the gambler
evening star
blaze of glory

ila na don namkubali
kwakweli sina maamuzi
 
Asante sana aiseee... ilikuwa inanichanganya kati ya parton na Whitney nani alikuwa wa kwanza... but version ya Whitney Houston ndo ilikuwa nzur sanaa n zaid ya parton... fantastic. ..
 
Yaani hawa wote wakali mpaka nachanganyikiwa ni yupi nimchinjie baharini.

Ngoja nimpe Kenny Rogers kuna zile nyimbo zake ameimba na Dolly Parton ni balaa
 
Don williams ana gospel songs kama
Your my bestfriend,
He's friend of mine,
Nobody but you,
Etc.

Just google.
Inaonekana upo vzur kwenye country. . Hizo nyimbo sizifaham hawa jamaa wana nyimbo nying sana...
 
Mimi nilijua anamuimbia mkewe mpenzi. Kumbe ni gospel. .......

Ok!. Sikuwahi kuitafakari kwa mtazamo huo. Ni kweli anaonyesha ku appreciate kitu kwa moyo wa ndani sana. Nitamwuliza halafu nitakuja kushare na wewe, intent yake ilikuwa ni ku praise nguvu ya mke mpenzi ama vipi. Nitakuja kushare hapa.
 
Don William ni hatari...nikisikia nyimbo zake kama vile "Listen to the Radio" na "Good ole boys like me", zinanipeleka mbali mno.
 
Mimi nilijua anamuimbia mkewe mpenzi. Kumbe ni gospel. .......

Ndiyo nagundua siko peke yangu.

"Lord You are my best Fried! It is just like the Lords Prayer.This song one of my very old favourites since I was 10 Years old.Praise the LORD! Thank You Don.I sing this every day before I go to bed. God bless you Mr Williams"

Tutawasiliana nikipata jibu kama nilivyokuahidi.
 
kenny ni habari nyingine,unayesema don williams rudia tena kumsikiliza mandevu kenny rogers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…