Nani mkali katika hawa

Nani mkali katika hawa

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
672
Reaction score
520
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;

Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart

Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence
 
Ongeza hawa: Steve Martin na Michael Cain

Nilikua nabase kwny black American comedians..ndio maana sijamweka hata mfalme wao "Mr Bean "
Nilitaka tujadiliane kuhusu hawa weusi wenzetu
 
Kwa sasa Kevin Hart yupo juu zaidi ya hao wote....nyakati za kina martin Lawrence zimepita sana.....Chris Tuker anajitutumua kidogo....niliona alivyohost BET awards last year na alijitahidi sana
 
Upo sawa kabisa mkuu ila hata hiyo BET unakumbuka aliyohost Kevin Hart I guess ni iliyopita kabla ya hii plus MVA alivyofunika sana na ule msemo wake "TURN UP "
Kelvin Hart yuko vizuri sana kipindi hiki last month nimecheck movie ya "Grudge Match " he was a co starring kapitia sana...unajua kuwa featured kwenye movie moja na watu kama Sylvester Stallone na Robert De Nero afu ukafit sio kazi ndogo hata kidogo
 
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;

Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart

Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence

Kevin Hart ni mzuri lakini usimuweke kundi moja na hao wengine kwani ndio kwaanza anaanza. Kwa maoni yangu Martin Lawrence yuko more versatile, anaweza stand up comedy, anaweza kucheza movie za comedy na pia ni mzuri kwenye sitcom (kumbuka kipindi chake cha cha Martin).

Eddie Murphy ni legendary wa stand up comedy hilo halina ubishi. Pia ni mzuri kwa upande wa movie za comedy. Chris Rock pia ni legendary wa stand up comedy lakini hajafanya vizuri sana upande wa movies. Chris Tucker namkubali upande wa movies zaidi kwenye stand up hajani-impress sana.
 
Je kwenye stand up comedy? Lmao!!!

Steve Harvey, Chris Rock ama jina linanitoka. Some small dude who is hilarious na nywele ameweka dawa. Ana clip flani ya weed it will make you roll on the ----ing floor.
 
Kevin Hart ni mzuri lakini usimuweke kundi moja na hao wengine kwani ndio kwaanza anaanza. Kwa maoni yangu Martin Lawrence yuko more versatile, anaweza stand up comedy, anaweza kucheza movie za comedy na pia ni mzuri kwenye sitcom (kumbuka kipindi chake cha cha Martin).

Eddie Murphy ni legendary wa stand up comedy hilo halina ubishi. Pia ni mzuri kwa upande wa movie za comedy. Chris Rock pia ni legendary wa stand up comedy lakini hajafanya vizuri sana upande wa movies. Chris Tucker namkubali upande wa movies zaidi kwenye stand up hajani-impress sana.

Vipi "let me explain" ya Kevin Hart
 
Vipi "let me explain" ya Kevin Hart

"Let me explain" ni nzuri na sio hiyo tu anazo nyingine kama "laugh at my pain" na "a grown little man". Lakini huwezi kumlinganisha kwa sasa na magwiji kama Eddie Murphy au Chris Rock (upande wa stand up) au Martin Lawrence (upande wa movie za comedy). Ila anayo nafasi ya Kufanya vizuri kwani kwa sasa hivi ni kama hana mpinzani and I'm a big fan.
 
Kwa sasa Kevin Hart yupo juu zaidi ya hao wote....nyakati za kina martin Lawrence zimepita sana.....Chris Tuker anajitutumua kidogo....niliona alivyohost BET awards last year na alijitahidi sana

honest speaking..nampenda sana chris tucker..bt bet awards performance was below my expectation...
 
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;

Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart

Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence
ungeongezea na kina dave chappele,eddie griffin ariel spears
 
honest speaking..nampenda sana chris tucker..bt bet awards performance was below my expectation...

ni kweli.....nyakati za kina Tucker zimepita.....nilitazama BET Hip Hop awards na Snoop did way better than Chris Tucker
 
Uko sahii kabisa mkuu...Alifanya kawaida alishindwa mpaka na aliyoifanya Samuel Jackson hata Jimmy Fox nae alihost vizuri sana awamu yake..the only part aliponifanya nicheke walau kidogo ni alipoanza kumuiga sauti Michael others ways the whole hosting ilikua "okay" level na sio standard za BET
 
ni kweli.....nyakati za kina Tucker zimepita.....nilitazama BET Hip Hop awards na Snoop did way better than Chris Tucker
hiki kipande kilinifurahisha sana hart alipokuwa anatania uncle
092813-shows-hha-2013-show-highlights-snoop-dogg-lion-uncle-kevin-hart.jpg
 
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;

Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart

Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence

Kiboko yao huyu hapa Edward "Eddie" Rubin Griffin

0715-eddie-griifin-tmz-1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom