Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

Ahaaaa haaa hapo tunatafuta ukali wa kimila au kipaji? Kwenye masuala ya kukogeshwa madawa, na masuala ya kimila..hana mpinzani dhahiri, Konde-boy kashinda. Ila kama ni kipaji, vocal, stage Vany.



Everyday is Saturday.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…