Huwezi kumfananisha Rayvanny na vitu vya ajabu ajabu hivyo. Halafu hivi Harmonise na yule dogo mmoja wa kwenye Band ya Yamoto Band ni ndugu? Maana huo mfanano!!!!
Kama Tanzania imewaelewa halina tatizo wapambanishwe tu kuna watu wananyimbo zaidi ya hizo ila watu hawa wafahamu unawafahamu haw nash mc songa Nikki Mbishi kr mulla